Rev.......... huu ugonjwa wa moyo, seriously mm i will inspect her tigo carefully, kama imeliwa lazima nitajua, na kuchunguza mikoba ya akina mama that is good move, ili kuwajua maana hii hatari, K-Y this is special for O, mmmmmmmhhhhhh yaweeeeeee tayari kapigwa poooool, kaahh mm ningemwuita na kumwenyesha na kumchunguza O, how ilivyo liwa, inauma......
[/COLOR]
ha ha ha ukikuta imetumika saaaaana utafanyaje ?
ANGALIZO KWA WANAUME JAMANI...JARIBUNI KUWAHOJI WAKE, MARAFIKI ZENU WA KIKE PALE UNAPOSUSPECT KITU, MAANA KUKAA KIMYA NI MBAYA SANA HASA KWA WATU AMBAO MANAISHI WAWILI MPAKA KUFA.... USIRI USIWEPO PALE UNAPOKUWA NA WASI WASI NA KITU KWA MWENZIO.......HILI PIA LINA-APPLY HATA KWA MWANAMKE....
Nawasilisha..
Achana na akina mama aisee...ni watu wa siri sana na wanajua sana kucheza na maneno na nyakati pia...
ANGALIZO KWA WANAUME JAMANI...JARIBUNI KUWAHOJI WAKE, MARAFIKI ZENU WA KIKE PALE UNAPOSUSPECT KITU, MAANA KUKAA KIMYA NI MBAYA SANA HASA KWA WATU AMBAO MANAISHI WAWILI MPAKA KUFA.... USIRI USIWEPO PALE UNAPOKUWA NA WASI WASI NA KITU KWA MWENZIO.......HILI PIA LINA-APPLY HATA KWA MWANAMKE....
Nawasilisha..
Na atakavyovikuta ni vya kwake pia...:teeth::teeth::teeth:
kwanza unatakiwa uwe na communication na mkeo,angeuliza kwa upole labda mkewe anataka kufanya mautundu mapya kitandani...amechoka kila siku kutumia voda,unajuaje?...ameleta 'zana'...za kutumia...LOL:teeth::teeth:,majibu kwa kweli anayo huyo mwanamke...hapa tutafanya guesswork...ambayo nadhani wengi wetu watamuhukumu tu bureee...
Achana na akina mama aisee...ni watu wa siri sana na wanajua sana kucheza na maneno na nyakati pia...
ANGALIZO KWA WANAUME JAMANI...JARIBUNI KUWAHOJI WAKE, MARAFIKI ZENU WA KIKE PALE UNAPOSUSPECT KITU, MAANA KUKAA KIMYA NI MBAYA SANA HASA KWA WATU AMBAO MANAISHI WAWILI MPAKA KUFA.... USIRI USIWEPO PALE UNAPOKUWA NA WASI WASI NA KITU KWA MWENZIO.......HILI PIA LINA-APPLY HATA KWA MWANAMKE....
Nawasilisha..
Mzee mzima yuko sebuleni anafatilia hotuba ya Kikwete kwenye ufunguzi wa bunge akiona live wabunge wa CHADEMA wakitoka ukumbini. Mkewe alikuwa jikoni akisaidia na msichana wa kazi kuandaa maakuli ya familia. Mkoba wa mkewe ulikuwa sebuleni basi akaamua kuangalia ndani, alichokuta kilikuwa ni mambo ya kushangaza, K.Y jelly tube, condoms na vipodozi kadhaa wa kadhaa na pesa nyingi tu. Alishindwa kujizuia akashindwa muuliza mkewe. Hajawahi tumia condom wala K.Y Jelly na mkewe. Anadai wanamapenzi ya dhati hajawahi msuspect mkewe. Hili nimeshtua anaomba ushauri jamani. Uaminifu na mapenzi yamepungua hata mkewe kamshitukia.
Ushauri jamani!
Hahahahaah either wewe ni mdogo haya mambo huyajui! Inakera zaidi kuuliza kitu kilicho obvious. Huyo mama atakataa huenda hata akalianzisha umemwekea, mkaishia kuingia kwenye domestic abuse. Nadhani njia sahihi ni huyo bro kwenda naye kucheat na aje amevaa G-string ya kidosho wake. Hakuna kuulizana
unatakiwa umjue mkeo kabla hujaoa,kuvikuta hivyo vitu haimaanishi infidelity imetake place.....labda amepewa amshikie mtu unajuaje???LOL:redfaces:
I agree with you...always be defensive au vipi!!Ayaaaaa weeeee tayari keshamegewa huyo. KY na rubber za nini?
Dawa hapo ni yeye naye kuanza kumega nje kama bado hajafanya hivyo.
This is one of the reasons why I subscribe to the principle of 'when in a relationship, cheat first'.....so even if you come to find out later that your significant other has been creepin' on you, hey it won't bother you much coz you got her first.....
But in there is no trust in this world. Trust is just a myth....
Fab....hakunaga kujuana mkiwa bfnd/gfnd/uchumba....hata mkikaa miaka 10 hamtajuana kiundani, subiria muanze kujambiana kwenye mablanketi ndio kila mtu atamjua kumbe huyu c wa njano bali wa pink....hii sector haitabiriki jamani, na hakuna anayoenda nayo sawa 100%, kuna raha na karaha za kumwaga.
Asimuulize kitu huyo,aendelee kumchunguza,kama an cheat ipo siku atajisahau tena.
maneno ya kutiana moyo haya!mke alikuwa anampima tu jamaa, sidhani kama kweli anacheat ataacha evidence nje nje hivyo. Mwambie jamaa asipate presha.
hii ni kweli kabisa!Nadhani kwa upande wenu nyinyi wakina daa hii maneno ndo inaapply sana, kipindi cha uchumba mnafanana kama watakatifu, baada ya ndoa balaa linaanza!
K.Y jelly HIII YA NINI SASA??Asante mie condom hainipi taabu sana ningemuuliza tu hiyo K.Y jelly inafanya nini humo? baaaasiii! Pia ningeomba anifafanulie kwa uelewa wake inavyotumika
Alikosea....si vizuri kupekenyua mkoba au simu ya mwenzi wako...jamaa yangu mmoja aliwahi kufanya hivyo akakuta Nyundo na kisu vyote vikiwa na damu...hakulala nyumbani wiki kwa hofu