Mikoba ya Kina dada ina Mambo!

Talaka hamsini akaliwe tigo vizuri.
 
unatakiwa umjue mkeo kabla hujaoa,kuvikuta hivyo vitu haimaanishi infidelity imetake place.....labda amepewa amshikie mtu unajuaje???LOL:redfaces:
Na siku hizi hapo kwenye pink kunafanyiwa kazi kwelikweli, nadhani na wewe unaweza kuwa shaidi au nadanganya? hahah
alafu hii ya kumshikia mtu imenikumbasha mambo ya shule za msingi,..................ila hapo jamaa asipouliza anaweza kufa kwa presha
Hapo unazitoa na kuziweka mezani tu hala husemi kitu ............:bump:
 
Nani alikuambia kuongoza familia ni kazi ndogo? Nafikiri U r on the right track. Kama kampuni inavyowezebaina kwanini haifanyi vizuri basi nawe umeanza vizuri ingawaje huenda umechelewa kidogo

Ulifanya vizuri kutomuuliza kwani bila uchunguzi jibu lolote utalopewa utaweza kulipima. Fanya uchunguzi usikurupuke utapatamajibu tu! Ukiisha pata majibu kuwa nini kinaendelea mcomfront. Angalizo usionyeshe kustuka kabisa. Kuhusu assignment ya kumfuatilia anza na kumonitor simu yake sio naomba kuona simu yako bali iwe kwa siri kweli kweli.
 
Bacha....hapo hakunaga mwanaume/mwanamke....ngoma droo, ila naogopaga wanaume wapole....ndio funga kazi hao!....bora umpate yule chakaramu chakaramu fulani, wale wa kuinamisha shingo...pweehhh wengi wa ma frnd zangu wamelizwa sana.

Kumbe Ndo maana twaelewana!
 
Na kama yeye hachiti?
Utajisikiaje kumsaliti 'your significant one'? (hapo mi naona ni your insignificant one kwanza)
 
sioni haja yaa kujihami (kuhofia maumivu endapo ntasalitiwa) wala kulipiza kisasi endapo mwenza wangu ananisaliti.
Kufanya hivo namkomoa nani?
Ntajikusanya nisonge mbele tu!
 

Duuu nyamao acha usiseme tukazidi kuogopa.
 
Na kama yeye hachiti?
Utajisikiaje kumsaliti 'your significant one'? (hapo mi naona ni your insignificant one kwanza)

Nightangale of paradise (wewe m-baha'i eeh?)
Ukiwa mke wa mtu kwa nini lakini uhifadhi hivyo vitu kwenye mkoba wako? Kufanya hivyo ni kumpa sababu mwenzi wako ya kufikiri mengi yakiwemo hayo ya kuibia. Ni jambo rahisi sana. Usimpe mwenzi wako (kama unampenda kikweli kweli) sababu yoyote ile ya kuhisi vingine. Ni hivyo tu.
 
DUh! ndo maana huwa sicheki mesage wala pochi la waifu.
my principle is Don't go looking for shit,Let shit find you
huyo jamaaa was looking for shit,he found it,sasa inabidi ameze hiyo shit,ukizingatia wife ana KY jelly with condom,inamaana anatumia kondom and ky jelly for lubricating nini sijui Tigo au Zain. au ndio mambo ya Zantel kutwanga Kote kote
 

Clearly by any metric that's just not a good look for the wifey. If I were the guy I'd just kick her to the curb and keep it moving. There are a gazillion of women out there. Why stick around for her? She's a trick. You don't keep KY jelly in your purse. Even if you use it with your hubby you'd keep it at home and not in the purse. I smell a rat...a big fat one.
 
Mh! I am puzzled,sihofii kuhusu kondomu,hofu yangu kubwa ni hayo mafuta ya jelly!anayatumiaga kurainishia nini?inatisha mchungaji,nashindwa hata nikushauri nini!
 
Mh! I am puzzled,sihofii kuhusu kondomu,hofu yangu kubwa ni hayo mafuta ya jelly!anayatumiaga kurainishia nini?inatisha mchungaji,nashindwa hata nikushauri nini!

Certainly that is a deal breaker!
 
Sitetei hata kidogo uchafu wa huyu mke lakini pia sikubaliani na wewe kwenye huko kusaliti kabla hujasalitiwa ili tu ujiwekee kinga ya maumivu. Na hata inaweza isiwe kinga mwisho wa siku bali maumivu zaidi.
Mimi siwezi kumpa my significant one sababu yoyote ya kunitilia mashaka. Not today not ever!
I am the Nightangale of the Paradise singing on the twigs of a tree


.
 
Now u are talking! Kosa kama hilo kwa upande wangu, msahamaha pekee atakaostahili mkosaji ni talaka...
 

Hahahaha reincarnation is a mugh :teeth:
 
Now u are talking! Kosa kama hilo kwa upande wangu, msahamaha pekee atakaostahili mkosaji ni talaka...

Fail! what judge is gonna grant you a dissolution of marriage based on flimsy evidence such as a bottle of KY jelly?

And divorce is not forgiveness, btw.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…