Nightangale
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 265
- 2
Hahahaha reincarnation is a mugh :teeth:
Who died?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha reincarnation is a mugh :teeth:
Who died?
Duuu nyamao acha usiseme tukazidi kuogopa.
But trust a man!Never trust a women no matter what..
Never trust a women no matter what..
Usiogope Lucy ndo ukubwa huo!
Rudini mkafundishwe upya maana ya ndoa.Huenda wewe ni mvivu ndio maana akafanya hivyo.Huu ni usemi wa mama jirani yangu aliyetakiwa kutoa maelezo baada ya kupewa ujauzito na Mume wa jirani yake akajibu kuwa MUME wake ni mvivu.
Si mchezo Bacha unamuona mtu wa kijani kumbe wa njano,
Hata kwa mke na mume?Raha ya mapenzi ni usiri uliopo kati yenu ati....mapenzi bila siri hayana raha!!
Duuu nyamao acha usiseme tukazidi kuogopa.
Bora wewe umesema hivyo, si wote ni kina Iskariote au Maria nani yule alimuosha Yesu kwa mchozi na kumfuta kwa nywele zake?wala msiogope kabisa....kwenye game kila mmoja anapambana kivyake, uanweza kuibuka na mtakatifu Yuda Thadei.....
Hata kwa mke na mume?
Huyu mama inaonekana anajali sana,Condom na KY Jelly vyote hivi vinasaidia kuzuia maambukizi
Swali ni kwa nini afanye hivyo? lazima kuna sababu....
Ni vizuri kuaminiana mke na mume, lakini pia wewe kama mume au mke kwanini unafanya usanii kwa mwenzio? alipoacha mkoba wake alitaka aaminiwe na mumewe kwamba hana wasiwasi hata akiiacha mkoba, kumbe pumba tupu na yamemtokea puani, namshauri amsamehe ila amwambie ukweli kwamba tabia hiyo hakuitegemea kabisa kutoka kwake na imani yake kwake imeshapungua kabisa labda amthitishie kwamba anaacha kabisa tabia hiyoAlikuwa anatafuta nini ktk huo mkoba wa mkewe??kama hutaki magonjwa ya moyo achana na kupekuwa mabegi au simu za mpenzi wako!!
Inakula kwako hiyo mazee Zinduka!