Mikoba ya Kina dada ina Mambo!

Mikoba ya Kina dada ina Mambo!

Never trust a women no matter what..
 
Rudini mkafundishwe upya maana ya ndoa.Huenda wewe ni mvivu ndio maana akafanya hivyo.Huu ni usemi wa mama jirani yangu aliyetakiwa kutoa maelezo baada ya kupewa ujauzito na Mume wa jirani yake akajibu kuwa MUME wake ni mvivu.
 
Maisha ya ndoa magumu bana.....
 
Si mchezo Bacha unamuona mtu wa kijani kumbe wa njano,

Na hizi zama za dot com ndiyo kabisa mambo yameharibika. Jana nilikuwa nilisoma takwimu zinazosema kwamba facebook sasa hivi ina account asilimia 15 ya divorce. They say old flames are easy to re-ignite. There is truth in this adage. People hook up with their former lovers that they've seen on facebook and consequently leading to the break-up of their current relationship.
 
Raha ya mapenzi ni usiri uliopo kati yenu ati....mapenzi bila siri hayana raha!!
Hata kwa mke na mume?
Huyu mama inaonekana anajali sana,Condom na KY Jelly vyote hivi vinasaidia kuzuia maambukizi
Swali ni kwa nini afanye hivyo? lazima kuna sababu....
 
wala msiogope kabisa....kwenye game kila mmoja anapambana kivyake, uanweza kuibuka na mtakatifu Yuda Thadei.....
Bora wewe umesema hivyo, si wote ni kina Iskariote au Maria nani yule alimuosha Yesu kwa mchozi na kumfuta kwa nywele zake?
 
Hata kwa mke na mume?
Huyu mama inaonekana anajali sana,Condom na KY Jelly vyote hivi vinasaidia kuzuia maambukizi
Swali ni kwa nini afanye hivyo? lazima kuna sababu....

Kha...kumbe ndio hii?.....mimi niliambiwa ni lotion hii..

136004765hxnnzI_ph.jpg
 
Alikuwa anatafuta nini ktk huo mkoba wa mkewe??kama hutaki magonjwa ya moyo achana na kupekuwa mabegi au simu za mpenzi wako!!
Ni vizuri kuaminiana mke na mume, lakini pia wewe kama mume au mke kwanini unafanya usanii kwa mwenzio? alipoacha mkoba wake alitaka aaminiwe na mumewe kwamba hana wasiwasi hata akiiacha mkoba, kumbe pumba tupu na yamemtokea puani, namshauri amsamehe ila amwambie ukweli kwamba tabia hiyo hakuitegemea kabisa kutoka kwake na imani yake kwake imeshapungua kabisa labda amthitishie kwamba anaacha kabisa tabia hiyo
 
Back
Top Bottom