Lucas
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,457
- 1,110
habari wana JF,
Kwa wanaotoka mikoa arusha, kilimanjaro au manyara si neno geni sana kwao
mikongoraa ni aina fulani ya mizizi ambayo husambazwa mtaani na kutafunwa sana na wenyeji wa mikoa hiyo hususani Arusha. jana nimeona jijini pia inauzwa! ndio ikanikumbusha kuuliza kwa wana JF
1.kwa nini watu hula mikongoraa?
2. Mikongoraa ni kilevi, dawa, kiburudisho au?
3. je ni kweli kuwa ina effect kwa viungo vya uzazi vya mwanaume?
4. nini madhara yake?
5. je kisheria inatambulika?
natanguliza shukrani, naamini mtanisaidia kujua zaidi kuhusu hili