Mikongoraa ni nini? Na ina effect gani?

Mikongoraa ni nini? Na ina effect gani?

Lucas

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
2,457
Reaction score
1,110
habari wana JF,
Kwa wanaotoka mikoa arusha, kilimanjaro au manyara si neno geni sana kwao
mikongoraa ni aina fulani ya mizizi ambayo husambazwa mtaani na kutafunwa sana na wenyeji wa mikoa hiyo hususani Arusha. jana nimeona jijini pia inauzwa! ndio ikanikumbusha kuuliza kwa wana JF
1.kwa nini watu hula mikongoraa?
2. Mikongoraa ni kilevi, dawa, kiburudisho au?
3. je ni kweli kuwa ina effect kwa viungo vya uzazi vya mwanaume?
4. nini madhara yake?
5. je kisheria inatambulika?

natanguliza shukrani, naamini mtanisaidia kujua zaidi kuhusu hili
 
Last edited by a moderator:
Smiling Saint, Me naijua Ming'oko, ni aina fulani ya mizizi imekaa kama Mdaa...........sidhani kama ndio hiyo unayomaanisha mpenzi!!!!!!!!
Ila Kwa Mikongoraa............sidhani

Mh, labda aje mtaalamu hapa atusaidie, mie siijui hiyo ming'oko..... kwani hiyo ming'oko kazi yake ni nini?
 
Mikongoraa tumeila sana MOSHI tukiwa wadogo ina ladha fulani mdomoni kama muwasho si muwasho utamu si utamu, kama aina fulani hivi ya dawa ya mswaki. Mimi nilikuwa napenda ladha yake.
Watu wanasema inaongeza ukubwa wa dodoki, na nadhani kuna ukweli fulani manaake....
 
mkuu andate hiyo umeprove mwenyewe au?
 
Last edited by a moderator:
Mi sijawahi kuiona aisee siunajua Majengo siku hizi hakuna mimi lol
 
Mi sijawahi kuiona aisee siunajua Majengo siku hizi hakuna mimi lol

tatizo lako wewe ni mhamiaji... hii kwa wazawa wanaifahamu vizuri kabisa. pita mitaa ya unga ltd hutakosa!! au kajaribu matejoo
 
Smiling Saint huyo jamaa Erickb52 asikudanganye anaijua sana na ashakula sana
Kuna imani inaongeza ukubwa wa naninihino ila sidhani kama kuna ukweli aise
Ipo sana mitaani wengine wanasema inasafisha tumbo wengine ndio hizo imani ila sina uhakika bana
 
ahsante mkuu Mr Rocky, ila nina maswali machache kwako pia

  1. je wewe mwenyewe umewahi kula?
  2. kama uliwahi kula, kwa nini ulikula?
  3. kwa kuwa umekuja na taarifa kuwa Erickb52 amewahi kuila, je ni kwa sababu gani unadhani Erickb52 aliichangamkia hiyo? kutibu tumbo?
 
Last edited by a moderator:
Mikongoraa asee ni mitamu, tena upate ile ya Meru ambayo bado haijaoshwa, tofauti na ile ya mjini.

1. Inaongeza uume

2. Inatibu kinywa kinachotoa harufu isiyo nzuri.

3. Na ikitumiwa muda mfupi kabla ya Sex humsaidia mwanaume kwenda round kadhaa zaidi na kawaida yake, na uume unakuwa mgumu sana.

4. Na pia watu wengine huila kwa ajili ya ladha yake.

Na juzi juzi tu nimeshangaa kuwaona watu wakiitumia kuchanjia mirungi.
 
ahsante mkuu Mr Rocky, ila nina maswali machache kwako pia

  1. je wewe mwenyewe umewahi kula?
  2. kama uliwahi kula, kwa nini ulikula?
  3. kwa kuwa umekuja na taarifa kuwa Erickb52 amewahi kuila, je ni kwa sababu gani unadhani Erickb52 aliichangamkia hiyo? kutibu tumbo?

Mkuu Smiling Saint sijawahi kula hiyo kitu na naiona barabarani kwa wauzaji ila sijawahi hata kuuliza ina matumizi gani
Hiyo ya tumbo nilimuona jamaa yangu tena sio hapa Arusha ila Dar ndo nikamuuliza hii unakula kwa nini ndio akanipa taarifa za kwamba inasaidia tumbo pia
Na nilimuuliza the same question kuwa mbona wanasema inaongeza nanihino ila alinipa jibu hilo hilo kuwa hana uhakika Erickb52 anaijua bana mkazi wa Arusha aiijue mkongoraa aise
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Smiling Saint sijawahi kula hiyo kitu na naiona barabarani kwa wauzaji ila sijawahi hata kuuliza ina matumizi gani Hiyo ya tumbo nilimuona jamaa yangu tena sio hapa Arusha ila Dar ndo nikamuuliza hii unakula kwa nini ndio akanipa taarifa za kwamba inasaidia tumbo pia Na nilimuuliza the same question kuwa mbona wanasema inaongeza nanihino ila alinipa jibu hilo hilo kuwa hana uhakika Erickb52 anaijua bana mkazi wa Arusha aiijue mkongoraa aise
haya mkuu nimekuelewa ila ukipata jibu jipya, naomba unijulishe
 
Last edited by a moderator:
Smiling Saint huyo jamaa Erickb52 asikudanganye anaijua sana na ashakula sana
Kuna imani inaongeza ukubwa wa naninihino ila sidhani kama kuna ukweli aise
Ipo sana mitaani wengine wanasema inasafisha tumbo wengine ndio hizo imani ila sina uhakika bana
Hahahahahaaa aisee mi siijui kiukweli labda Mr Rocky afanye mpango wa kuelekeza iliko nikaiangalie ikoje
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Smiling Saint sijawahi kula hiyo kitu na naiona barabarani kwa wauzaji ila sijawahi hata kuuliza ina matumizi gani
Hiyo ya tumbo nilimuona jamaa yangu tena sio hapa Arusha ila Dar ndo nikamuuliza hii unakula kwa nini ndio akanipa taarifa za kwamba inasaidia tumbo pia
Na nilimuuliza the same question kuwa mbona wanasema inaongeza nanihino ila alinipa jibu hilo hilo kuwa hana uhakika Erickb52 anaijua bana mkazi wa Arusha aiijue mkongoraa aise
Wewe ndio unaijua na umeshaitumia wakati unatafuta kukidhi viwango kwa Madame B lol
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaaa aisee mi siijui kiukweli labda Mr Rocky afanye mpango wa kuelekeza iliko nikaiangalie ikoje

|We hapo hapo majengo mbauda unakokaa imejaa tele bana usitake kukwepa hapa Erickb52

Wewe ndio unaijua na umeshaitumia wakati unatafuta kukidhi viwango kwa Madame B lol

We unanitafutia kesi kwa Madame B wakati hata utani nae sina aise Madame B hahitaji mtu wa kuongezea power kwa miti shamba anataka nguvu natural bila chenge na ukiwa nae sio wa dak tano unahema kama kuku wa kisasa unatakiwa uende Saa nzima
 
Last edited by a moderator:
|We hapo hapo majengo mbauda unakokaa imejaa tele bana usitake kukwepa hapa Erickb52

We unanitafutia kesi kwa Madame B wakati hata utani nae sina aise Madame B hahitaji mtu wa kuongezea power kwa miti shamba anataka nguvu natural bila chenge na ukiwa nae sio wa dak tano unahema kama kuku wa kisasa unatakiwa uende Saa nzima
Hahahahaaa mkuu kuziba mashimo yasiyojaa ni kazi sana aisee lol
Huwezi kushindana na ulikotoka utabaki kuumia tu bora tulizooea kamoja tu mbonji!
 
Back
Top Bottom