Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka kugonga like kwenye hiyo avatar yako tatizo sioni pa kubofya[emoji23] [emoji23] [emoji23]
😀😛😀😀 hahahaahaahahh, umeona eeee mzee ananyapia nyapia vibinti hahahahahahaahahaha. habari za asubuhi mkuuNataka kugonga like kwenye hiyo avatar yako tatizo sioni pa kubofya[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unaamini katika uwepo wa “INHUMAN” ?Mimi siyo daktari lakini swali ni je hukumeza kitu chenye kuakisi umeme kweli na kimo kwenye damu yako au kimebana kwenye utumbo? Angalia kisitembee mpaka kwenye moyo maana ndo pumping organ au kwenda kwenye ubongo. Usitishike mimi ni lay person sina hata chembe ya hata u nurse ila huwa naangalia kipindi kinaitwa Monster inside me kwenye Animal plannet.
Kwa nini?Unaamini katika uwepo wa “INHUMAN” ?
Swali tu, kwakua nimeona ni mfwatiliaji.Kwa nini?
Mfuatiliaji wa nini? Humu kila mtu ana haki ya kusoma, ku like na ku comment chochote mradi sivunji sheria za JF. Wengine labda hawana muda au they are not interested in some of the topics. Samahani kama nimekukwaza ila sitaacha kutoa mawazo yangu.Swali tu, kwakua nimeona ni mfwatiliaji.
Tuelezee mkuu ,ni kitu gani??Unaamini katika uwepo wa “INHUMAN” ?
Mfuatiliaji wa nini? Humu kila mtu ana haki ya kusoma, ku like na ku comment chochote mradi sivunji sheria za JF. Wengine labda hawana muda au they are not interested in some of the topics. Samahani kama nimekukwaza ila sitaacha kutoa mawazo yangu.