msabillah
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 4,764
- 3,192
Humanoid!Unaamini katika uwepo wa “INHUMAN” ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humanoid!Unaamini katika uwepo wa “INHUMAN” ?
Kwaheri ya kuonana kwenye mada nyingine.Duuh!!! Mbona povu ivo, wewe umeelewaje labda?
Sioni haja ya hiyo essay yote hapo. Swali dogo sana na wala sikuwa na sina nia ya kujaji mchango wako!
Haha mkuu salama kweli!??Kwaheri ya kuonana kwenye mada nyingine.
Nilitumbuliwa enzi za Mwinyi hivyo sina shida nilishazoea ugali kwa mlenda.Haha mkuu salama kweli!??
Kazini hawajakutibua kweli?
Hao wanakua ni ma robot kabisa ila wanaonekana kama binadamu, inhuman wenyewe ni binadamu kabisa lakini wanafanya vitu zaidi ya uwezo wa kawaida wa kibinadamHumanoid!
Sasa vipi mkuu au mafao yamechelewa kuingia, sio kwa moto ule aiseeNilitumbuliwa enzi za Mwinyi hivyo sina shida nilishazoea ugali kwa mlenda.
Mkuu utakuwa na umeme. Ngoja waje wataalam.Habari wapendwa?
Kama kichwa cha habari kinavosema..hiyo hali imenianza juzi....msaada tafadhali!!
[HASHTAG]#Shukrani[/HASHTAG]