ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,337
- 7,593
Hii kitu hata mimi ilikuwa inanipata sana..kuna wakati ilikuwa hata kufungua mlango wa gari au koki ya bomba inabidi nijishauri sana. Lakini kuna mtu ameongelea hapo swala la nguo. Kuna nguo material flani ndio ilisababisha hii, nguo aina ya polister(nguo kama nailon) nilijigundua kuna shati lilikuwa ndio linanisababishia sana hii kitu. Niliachana nalo na hali hii naona imetulia kwa muda sasa.