Mikono ya Jumbe yafunguliwa pingu na Polisi ikiwa imevimba kwa kufungwa pingu Jana Baada ya kutekwa

Kwanza nitoe pole kwa muhusika Mungu ampe faraja na kupona nalaka,🙏

lkn kwenye maelezo yao wote wawili kuna kujichanganya so wasomaji wa taarifa yao imewaacha na maswali mengi

Mfano mwenyewe anakili alikimbia kwenye Msitu ktk ali ngumu akiwa kafungwa pingu!!!

izo pingu ukikimbia ndio zinakaza zaidi yani zinataka utulivu wako!!

Kwaiyo kavimba mikono sababu ya kukimbia mwenyewe!!

Nachelea kusema yumkin usoni mwake ni michubuko ya kuanguka kule kwenye Msitu wakati anakimbia!!

Sehemu ya pili anasema sababu ya kukimbia ni kwamba kasikia kuna lengo la kutaka kumuuwa !!

Maelezo aya yanatakiwa kufanyiwa hesabu zaidi kuungunisha maelezo yake na ya mwenzie ndio tutapata itimisho la lengo la Police

. Swali uyo jiran yake alikamatwa kwenye tukio??

aliachiwa vipi uyo nayeye kakimbia??

Je kaachiwa baada ya kufaamika muhusika kakimbia??

Kaachiwa wkt bado muhusika yupo chini ya Police ??

mana maelezo ya mwisho ya muhusika mkuu anaelezea kanakwamba yupo pekeyake ndipo kakimbia yeye kama yeye?

Swali ikiwa lengo la Police lilikuwa kumuuwa yeye hesabu zinakataa kwanini kaachiwa uyo mwenzie manake atatoa ushahidi wote jinsi ilikuwa ¿¿¿

Hitimisho Chadema wana alaka sana ya kujieleza kwenye matukio kama aya mwisho kunatokea jambo kama ili nimejaka!!!

muusika kaumia sana Usoni mikononi kwanza wajielekeza kumtibu!!

na baada ya apo muhusika atatulia vizuri ndio sasa anaweza kunyoosha maneno yake!!

pamoja na yote nitambue Ubinadamu wa Police kuangaikia kumfungua izo pingu !!

mana Police na muhusika wanakili izo pingu sio nzuri kubaki mikononi muda mrefu🙏
Kichwani alisema amepigwa na bastola, kuumia kiasi hiko kama ni kuanguka ilipaswa mikono ndio itangulie kulinda uso, lakini walimshambulia kichwani na amevuja damu nyingi... huo ni utekaji... wangefanikiwa walikuwa wanaenda kummaliza na kumpoteza...
 
Kwanza nitoe pole kwa muhusika Mungu ampe faraja na kupona nalaka,🙏

lkn kwenye maelezo yao wote wawili kuna kujichanganya so wasomaji wa taarifa yao imewaacha na maswali mengi

Mfano mwenyewe anakili alikimbia kwenye Msitu ktk ali ngumu akiwa kafungwa pingu!!!

izo pingu ukikimbia ndio zinakaza zaidi yani zinataka utulivu wako!!

Kwaiyo kavimba mikono sababu ya kukimbia mwenyewe!!

Nachelea kusema yumkin usoni mwake ni michubuko ya kuanguka kule kwenye Msitu wakati anakimbia!!

Sehemu ya pili anasema sababu ya kukimbia ni kwamba kasikia kuna lengo la kutaka kumuuwa !!

Maelezo aya yanatakiwa kufanyiwa hesabu zaidi kuungunisha maelezo yake na ya mwenzie ndio tutapata itimisho la lengo la Police

. Swali uyo jiran yake alikamatwa kwenye tukio??

aliachiwa vipi uyo nayeye kakimbia??

Je kaachiwa baada ya kufaamika muhusika kakimbia??

Kaachiwa wkt bado muhusika yupo chini ya Police ??

mana maelezo ya mwisho ya muhusika mkuu anaelezea kanakwamba yupo pekeyake ndipo kakimbia yeye kama yeye?

Swali ikiwa lengo la Police lilikuwa kumuuwa yeye hesabu zinakataa kwanini kaachiwa uyo mwenzie manake atatoa ushahidi wote jinsi ilikuwa ¿¿¿

Hitimisho Chadema wana alaka sana ya kujieleza kwenye matukio kama aya mwisho kunatokea jambo kama ili nimejaka!!!

muusika kaumia sana Usoni mikononi kwanza wajielekeza kumtibu!!

na baada ya apo muhusika atatulia vizuri ndio sasa anaweza kunyoosha maneno yake!!

pamoja na yote nitambue Ubinadamu wa Police kuangaikia kumfungua izo pingu !!

mana Police na muhusika wanakili izo pingu sio nzuri kubaki mikononi muda mrefu🙏
Makebo yako we mumbwa.
 
Mikono ya Jumbe yafunguliwa pingu na Polisi ikiwa imevimba kwa kufungwa pingu Jana Baada ya kutekwa
Jeshi la Polisi limefanikiwa kumfungua pingu msaidizi wa Tundu Lissu, aitwae David Djumbe, aliyekuwa ametekwa na baadae kufanikiwa kutoroka.

Picha zinaonyesha namna ambavyo pingu zilikuwa zimembana Djumbe kisiasi cha kusababisha mikono yake kuanza kuvimba

Pia soma:Msaidizi wa Lissu apatikana baada ya kudaiwa kutekwa akiwa na pingu mkononi pamoja na majeraha
Hii ni hatari sana
 
Hivi hizi Pingu hua zinaingiliana funguo?

Kwa anayejua pls.
Yah ni kweli zinaingiliana. Na zikikazwa zinakuvuruga mpaka akili mana kama zinakata kabisa zinagusa mfupa na huwez kuichezesha mikono kabisa

Mikono ya Jumbe yafunguliwa pingu na Polisi ikiwa imevimba kwa kufungwa pingu Jana Baada ya kutekwa
Jeshi la Polisi limefanikiwa kumfungua pingu msaidizi wa Tundu Lissu, aitwae David Djumbe, aliyekuwa ametekwa na baadae kufanikiwa kutoroka.

Picha zinaonyesha namna ambavyo pingu zilikuwa zimembana Djumbe kisiasi cha kusababisha mikono yake kuanza kuvimba

Pia soma:Msaidizi wa Lissu apatikana baada ya kudaiwa kutekwa akiwa na pingu mkononi pamoja na majeraha
Hii mijamaa inayofanya ushenzi huu tuendelee kuhesabu siku zao.
 
Kwanza nitoe pole kwa muhusika Mungu ampe faraja na kupona nalaka,🙏

lkn kwenye maelezo yao wote wawili kuna kujichanganya so wasomaji wa taarifa yao imewaacha na maswali mengi

Mfano mwenyewe anakili alikimbia kwenye Msitu ktk ali ngumu akiwa kafungwa pingu!!!

izo pingu ukikimbia ndio zinakaza zaidi yani zinataka utulivu wako!!

Kwaiyo kavimba mikono sababu ya kukimbia mwenyewe!!

Nachelea kusema yumkin usoni mwake ni michubuko ya kuanguka kule kwenye Msitu wakati anakimbia!!

Sehemu ya pili anasema sababu ya kukimbia ni kwamba kasikia kuna lengo la kutaka kumuuwa !!

Maelezo aya yanatakiwa kufanyiwa hesabu zaidi kuungunisha maelezo yake na ya mwenzie ndio tutapata itimisho la lengo la Police

. Swali uyo jiran yake alikamatwa kwenye tukio??

aliachiwa vipi uyo nayeye kakimbia??

Je kaachiwa baada ya kufaamika muhusika kakimbia??

Kaachiwa wkt bado muhusika yupo chini ya Police ??

mana maelezo ya mwisho ya muhusika mkuu anaelezea kanakwamba yupo pekeyake ndipo kakimbia yeye kama yeye?

Swali ikiwa lengo la Police lilikuwa kumuuwa yeye hesabu zinakataa kwanini kaachiwa uyo mwenzie manake atatoa ushahidi wote jinsi ilikuwa ¿¿¿

Hitimisho Chadema wana alaka sana ya kujieleza kwenye matukio kama aya mwisho kunatokea jambo kama ili nimejaka!!!

muusika kaumia sana Usoni mikononi kwanza wajielekeza kumtibu!!

na baada ya apo muhusika atatulia vizuri ndio sasa anaweza kunyoosha maneno yake!!

pamoja na yote nitambue Ubinadamu wa Police kuangaikia kumfungua izo pingu !!

mana Police na muhusika wanakili izo pingu sio nzuri kubaki mikononi muda mrefu🙏
Umeandika upuuzi mwingi tu
 
Maelezo aliyoyatoa huyu bwana na hata rafiki yake yanaendana, jaribu kuzisikiliza tena interviews zote 2 hatua kwa hatua...
 
kuna mawili
1. huna akili
2. una ujuaji wa kijinga
kwa nini nimesema hivyo, ukimsikiliza alisema tangu wanamshika walifanikiwa mfunga pingu na zile purukushani za awali na akiwa kwenye buti la gari ya watekaji pingu zilikuwa zinajibana ukiongeza na kukimbia zinajibana zaidi

je ww ulitaka atulie tu kuogopa pingu kujibana
mbona kaeleza jirani hakukamatwa aliachwa pale kwenye gari na jamaa akachukuliwa peke ake?

umeulz maswali mengi bila kufuatilia mahojiano na muathirika

huu ushauri wa kutulia kwanza ungeuchukua wewe ukusaidie maana unandika bila kufuatilia
 
Aisee
 
Back
Top Bottom