Mikono ya Jumbe yafunguliwa pingu na Polisi ikiwa imevimba kwa kufungwa pingu Jana Baada ya kutekwa

Mikono ya Jumbe yafunguliwa pingu na Polisi ikiwa imevimba kwa kufungwa pingu Jana Baada ya kutekwa

Niseme tu iko wazi wewe unapande wako tayari kimtizamo kabla hata ya tukio, unajaribu kujenga hoja tata kwa sababu unazozijua mwenywe..!

Kusema alichubuka akiwa msituni, jirani yake yuko wapi ayo yote sio hoja maana hili swala limekithiri sana nchini...! ni kwanini likatokea na ni zaidi ya awamu tatu saivi !, matukio ni yale yale na style ni ile ile ..!! Hoja Je ni sawa au sio sawa?

Binafsi ninaweza kumwamini sababu nimeshuhudia ukamataji kama huu kwa macho na baada ya siku nne tulifanikiwa kuwapata wahusika wakiwa kituo cha police wakiwa na siku moja tuu hapo kituoni ila usiniulize kwanini siku tatu kabla ya hapo hazikua documented kituoni.
 
Back
Top Bottom