Mikono ya Jumbe yafunguliwa pingu na Polisi ikiwa imevimba kwa kufungwa pingu Jana Baada ya kutekwa

Kichwani alisema amepigwa na bastola, kuumia kiasi hiko kama ni kuanguka ilipaswa mikono ndio itangulie kulinda uso, lakini walimshambulia kichwani na amevuja damu nyingi... huo ni utekaji... wangefanikiwa walikuwa wanaenda kummaliza na kumpoteza...
 
Makebo yako we mumbwa.
 
Hii ni hatari sana
 
Waliomfunga pingu ndio waliomfungua tofauti ni location tu.

Halafu watu wakikimbia nchi kunusuru uhai wao mnasema wameenda kuishi kwa mabeberu wanalipwa kuchafua nchi.
 
Hivi hizi Pingu hua zinaingiliana funguo?

Kwa anayejua pls.
Yah ni kweli zinaingiliana. Na zikikazwa zinakuvuruga mpaka akili mana kama zinakata kabisa zinagusa mfupa na huwez kuichezesha mikono kabisa

 
Hii mijamaa inayofanya ushenzi huu tuendelee kuhesabu siku zao.
 
Umeandika upuuzi mwingi tu
 

Maelezo aliyoyatoa huyu bwana na hata rafiki yake yanaendana, jaribu kuzisikiliza tena interviews zote 2 hatua kwa hatua...
 
kuna mawili
1. huna akili
2. una ujuaji wa kijinga
kwa nini nimesema hivyo, ukimsikiliza alisema tangu wanamshika walifanikiwa mfunga pingu na zile purukushani za awali na akiwa kwenye buti la gari ya watekaji pingu zilikuwa zinajibana ukiongeza na kukimbia zinajibana zaidi

je ww ulitaka atulie tu kuogopa pingu kujibana
mbona kaeleza jirani hakukamatwa aliachwa pale kwenye gari na jamaa akachukuliwa peke ake?

umeulz maswali mengi bila kufuatilia mahojiano na muathirika

huu ushauri wa kutulia kwanza ungeuchukua wewe ukusaidie maana unandika bila kufuatilia
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…