M Meme.com Member Joined Dec 24, 2011 Posts 23 Reaction score 0 Feb 25, 2012 #1 Jaman wanachuo kuhusu suala mikopo 2nateseka! 2lioapeal 2napewa lin majibu??
O oldonyo JF-Expert Member Joined Aug 11, 2011 Posts 549 Reaction score 86 Feb 25, 2012 #2 Serikali imefirisika hakuna kitu kwaiyo we jipange tu kutatua matatizo yako.
It is Sur_Plus Senior Member Joined Sep 28, 2010 Posts 167 Reaction score 7 Feb 26, 2012 #3 mbona majibu ya rufaa yamesha toka na majina ya wanafunzi waliopata yamesha pelekwa vyuoni
N NIMIMI Senior Member Joined Apr 2, 2011 Posts 170 Reaction score 16 Feb 27, 2012 #4 Anasoma Mlimani huyo ambako wamekwenda Likizo, wamekaribia kufungua anakumbuka alikata Rufaa, duuh maisha ya bila mkopo ni Mateso!
Anasoma Mlimani huyo ambako wamekwenda Likizo, wamekaribia kufungua anakumbuka alikata Rufaa, duuh maisha ya bila mkopo ni Mateso!