Mikopo chuoni

Mikopo chuoni

Meme.com

Member
Joined
Dec 24, 2011
Posts
23
Reaction score
0
Jaman wanachuo kuhusu suala mikopo 2nateseka! 2lioapeal 2napewa lin majibu??
 
Serikali imefirisika hakuna kitu kwaiyo we jipange tu kutatua matatizo yako.
 
mbona majibu ya rufaa yamesha toka na majina ya wanafunzi waliopata yamesha pelekwa vyuoni
 
Anasoma Mlimani huyo ambako wamekwenda Likizo, wamekaribia kufungua anakumbuka alikata Rufaa,

duuh maisha ya bila mkopo ni Mateso!
 
Back
Top Bottom