Mikopo hii itaniuwa sasa

Kopa tena milioni 3, jombaa uchakachue huo mzigo uliopo katika msimu huu usipochakachua na mali mpya uliopo utatoka kwa tabu sana, muhumu futa matumizi kabisa kwa siku 90. Huku ukiangalia upepo unayo kwenda jombaa chali yangu.
 

Huu ndo ushauri wangu, you are going down and you're going total down, usitengeneze mashimo mapya ukitegemea utainuka, usikope tena.

Cha kufanya:

1. Deni haliui, linaleta tu aibu na psychological torture.
2. Usikope mahali au kutumaini utalipa hilo deni.
3. Kama bond sio nyumba au kiwanja, wewe jitahidi tu kwenye biashara, ukishindwa basi.
4. Jiandae kupoteza kila kitu na kuanza upya.

Note:

1. Hakuna mtu mwenye mamlaka yeyote ya kukunyang'anya kitu bila ruhusa ya mahakama, kwahiyo usitishwe na mtu.

2. Kama rehani ni nyumba au kiwanja, jitahidi uuze haraka ulipe deni angalau ubakiwe na hela, mahakama ikikubali ufilisiwe hutapata kitu.

3. Usijali, usijiue, haya huwa yanakuja na kupita. Yanaaibisha na mwishowe huisha, watu kibao wanadaiwa na wanashindwa kulipa.

4. Kama una mke/mme muweke wazi kuepuka depressions, na kama hujaoa au kuolewa, elezea wazazi wako au wakuu wa dini angalau upate faraja.

5. Maisha ni vita, pigana, umeanguka hapa, ila utaondoka na uzoefu, rekebisha na endelea kupambana tena tena.

6. Jaribu kuwa na mitizamo yako na sababu za kukopa sio kushauriwa na watu, biashara ni yako, sikiliza moyo wako.
 
Sawa nauza viatu
 
ASANTE SANA ndugu yangu kwa ushauri wako mzuri
 
Hapo nimekuelewa ila usikope
 
What a word [emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ongezeya madeni mwanangu..kwani shi ngapi mzee baba. Wee ongeza deni tu halafu nenda bar ongeza bia. Alaah..
Wewe ni mwana blues mwenzangu ila hapa umeni-disappoint honestly,
Mtu amekuja kuzungumzia issue serious hapa ila wewe unakuja kufanya utani usio na kichwa wala miguu..!! Siyo ustaarabu, kaskazini hatupo hivyo..!!
 
Wewe ni mwana blues mwenzangu ila hapa umeni-disappoint honestly,
Mtu amekuja kuzungumzia issue serious hapa ila wewe unakuja kufanya utani usio na kichwa wala miguu..!! Siyo ustaarabu, kaskazini hatupo hivyo..!!
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…