Mikopo hii itaniuwa sasa

Mikopo hii itaniuwa sasa

Jamani naombeni ushauri nimekopa kwa watu binafsi na tasisi za kifedha paka sasa na Deni langu limepanda sana na kufika 7700000 milioni Saba na laki Saba

Mzigo dukani kwangu upo ila siyo mkubwa kwaida Sasa nimemuomba rafiki yangu ushauri jinsi ya kupata pesa niweke mzigo ili nizungushe kipindi hiki cha sikukuu

Kanishauri niende kwenye tasisi moja nikupe milioni moja niweke mzigo dukani kisha nirejeshe na kupunguza madeni

Nimewaza na hali yangu ya madeni nikiongeza tena madeni nitatoboa kweli

Najua huku jamii forum Kuna watu waliopitia shida Kama hizi zangu naombeni ushauri nichukuwe hiyo milioni au nikomae na huu mzigo uliopo dukani
Kopa tena milioni 3, jombaa uchakachue huo mzigo uliopo katika msimu huu usipochakachua na mali mpya uliopo utatoka kwa tabu sana, muhumu futa matumizi kabisa kwa siku 90. Huku ukiangalia upepo unayo kwenda jombaa chali yangu.
 
Jamani naombeni ushauri nimekopa kwa watu binafsi na tasisi za kifedha paka sasa na Deni langu limepanda sana na kufika 7700000 milioni Saba na laki Saba

Mzigo dukani kwangu upo ila siyo mkubwa kwaida Sasa nimemuomba rafiki yangu ushauri jinsi ya kupata pesa niweke mzigo ili nizungushe kipindi hiki cha sikukuu

Kanishauri niende kwenye tasisi moja nikupe milioni moja niweke mzigo dukani kisha nirejeshe na kupunguza madeni

Nimewaza na hali yangu ya madeni nikiongeza tena madeni nitatoboa kweli

Najua huku jamii forum Kuna watu waliopitia shida Kama hizi zangu naombeni ushauri nichukuwe hiyo milioni au nikomae na huu mzigo uliopo dukani

Huu ndo ushauri wangu, you are going down and you're going total down, usitengeneze mashimo mapya ukitegemea utainuka, usikope tena.

Cha kufanya:

1. Deni haliui, linaleta tu aibu na psychological torture.
2. Usikope mahali au kutumaini utalipa hilo deni.
3. Kama bond sio nyumba au kiwanja, wewe jitahidi tu kwenye biashara, ukishindwa basi.
4. Jiandae kupoteza kila kitu na kuanza upya.

Note:

1. Hakuna mtu mwenye mamlaka yeyote ya kukunyang'anya kitu bila ruhusa ya mahakama, kwahiyo usitishwe na mtu.

2. Kama rehani ni nyumba au kiwanja, jitahidi uuze haraka ulipe deni angalau ubakiwe na hela, mahakama ikikubali ufilisiwe hutapata kitu.

3. Usijali, usijiue, haya huwa yanakuja na kupita. Yanaaibisha na mwishowe huisha, watu kibao wanadaiwa na wanashindwa kulipa.

4. Kama una mke/mme muweke wazi kuepuka depressions, na kama hujaoa au kuolewa, elezea wazazi wako au wakuu wa dini angalau upate faraja.

5. Maisha ni vita, pigana, umeanguka hapa, ila utaondoka na uzoefu, rekebisha na endelea kupambana tena tena.

6. Jaribu kuwa na mitizamo yako na sababu za kukopa sio kushauriwa na watu, biashara ni yako, sikiliza moyo wako.
 
Wa fanya biashara sometimes tunafeli kitu kimoja tu!,ni kujaza duka ili kupendezesha duka na bidhaa ambazo hazina mzunguko!,mkuu usifanye biashara unavyotaka wewe bali fanya biashara inavyotaka biashara kama unauza nguo ,saa,mikanda na ukagundua saa ndio zina mzunguko weka nguvu zako huko
Sawa nauza viatu
 
Huu ndo ushauri wangu, you are going down and you're going total down, usitengeneze mashimo mapya ukitegemea utainuka, usikope tena.

Cha kufanya:

1. Deni haliui, linaleta tu aibu na psychological torture.
2. Usikope mahali au kutumaini utalipa hilo ddni.
3. Kama bond sio nyumba au kiwanja, wewe jitahidi tu kwenye biashara, ukishindwa basi.
4. Jiandae kupoteza kila kitu nakuanza upya.

Note:

1. Hakuna mtu mwenye mamlaka yeyote ya kukunyanganya kitu bila ruhusa ya mahakaman, kwa hiyo usitishwe na mtu.

2. Kama rehani ni nyumba au kiwanja, jitahidi uuze haraka ulipe deni angalau ubakiwe na hela, mahakama ikikubali ufilisiwe hutapata kitu.

3. Usijali, usijiue, haya huwa yanakuja na kupita. Yanaaibisha na mwishowe huisha, watu kibao wanadaiwa na wanashindwa kulipa.

4. Kama una mke/mme muweke wazi kuepuka depressions, na kama hujaoa au kuolewa, elezea wazazi wako au wakuu wa dini angalau upate faraja.

5. Maisha ni vita, pigana, umeanguka hapa, ila utaondoka na uzoefu, rekebisha na endelea kupambana tena tena.

6. Jaribu kuwa na mitizamo yako na sababu za kukopa sio kushauriwa na watu, biashara ni yako, sikiliza moyo wako.
ASANTE SANA ndugu yangu kwa ushauri wako mzuri
 
Mzigo upo kiasi ila mali iliyopo nyingi ni ile ambayo kuenda kwake ni mdogo mdogo sana Sasa nilishauriwa nichukuwe mkopo niweke na mali zinazokwenda kwa kasi nipige msimu huu wa sikuuu niweze kupunguza madeni Sasa Mimi nimesita kidogo kwasababu majukumu ni mengi yanayonikabili na yalazima madeni yamekuwa makubwa

Ndio naomba ushauri nichukuwe hiyo milioni niongeze mali dukani au nikomae tu
Hapo nimekuelewa ila usikope
 
Wa fanya biashara sometimes tunafeli kitu kimoja tu!,ni kujaza duka ili kupendezesha duka na bidhaa ambazo hazina mzunguko!,mkuu usifanye biashara unavyotaka wewe bali fanya biashara inavyotaka biashara kama unauza nguo ,saa,mikanda na ukagundua saa ndio zina mzunguko weka nguvu zako huko
What a word [emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ongezeya madeni mwanangu..kwani shi ngapi mzee baba. Wee ongeza deni tu halafu nenda bar ongeza bia. Alaah..
Wewe ni mwana blues mwenzangu ila hapa umeni-disappoint honestly,
Mtu amekuja kuzungumzia issue serious hapa ila wewe unakuja kufanya utani usio na kichwa wala miguu..!! Siyo ustaarabu, kaskazini hatupo hivyo..!!
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom