Badala ya kujibu alichouliza wewe umekuja na unayoyajua weweNyie sukuma gang hammalizi tu msiba? Enzi zenu za kuchafua nchi zimepita.
Inajengea familia ya Magufuli nyumba hapa Dar.Badala ya kujibu alichouliza wewe umekuja na unayoyajua wewe
Mikopo inaenda wapi na inatumika kufanyia nini?
Hayo matrilioni yanayosainiwa kila siku yanaenda wapi?Nyie sukuma gang hammalizi tu msiba? Enzi zenu za kuchafua nchi zimepita.
HawLipi chochote wanaolipa madeni kupitia kodi zao hawafiki miloni tano.Lakini mpaka masikini wa kutupa analipa haya madeni.
Nyie watu ni wajinga sana....yaani mnalipwa kushinda humu kuandika ujinga tu....Umejiuliza hichi ulichokiandika mama au baba yako akikiona atajilaumu kwann alikupeleka shule walau ukafute huo ujinga wako?.Vijana aina yako ni wa kuzibua tu.Nyie sukuma gang hammalizi tu msiba? Enzi zenu za kuchafua nchi zimepita.
Mkuu umeandika mambo Mengi ila ni ushabiki tu....hizo secta zinaendeshwa na akina nani wakati Mama kila siku ateua baraza jipya....hicho kilimo kafumua wizara,Njaa ni kali vyakula vimepanda bei mkuu au ww unaandikia ukiwa nje ya nchi hujui kinachoendelea mtaani huku?,Shule zipi na elimu hipi mama kainua tembea walau ata hili tunaita jiji la Dar uone wanafunzi wanakaa chini madawati hakuna madarasa yanavuja vumbi bado msimu wa mvua....Miradi yote imekufa.Mbona unauliza maswali ambayo hata mtoto mdogo hawezi kuuliza,kwamba wewe huoni miradi mikubwa ya kimkakati inayotekelezwa na serikali yetu? Huoni uwekezaji mkubwa na wakihistoria uliofanywa na serikali hii katika secta karibu zote? Huoni namna vituo vya Afya vinavyojengwa kila Kona ya nchi yetu? Huoni hospitali za mikoa Kanda Hadi Taifa zinavyoboreshwa na kuongezewa uwezo wa kiviifaa na wataalamu ili kuweza kutoa huduma za kibingwa ambazo awali ilikuwa Ni mpaka mgonjwa apelekwe nje ya nchi?
Huoni uboreshaji wa secta ya Elimu? Huoni uwekezaji wa mabillioni ya pesa katika secta hiyo ambayo yamechochea hata ongezeko ya fursa za ajira kwa vijana? Huoni kwa Sasa Hakuna mwanafunzi anayekaa nyumbani kwa kukosa Ada au uhaba wa madarasa? Huoni kwa Sasa wanafunzi wote wanaripoti shuleni kwa wakati? Huoni kwa Sasa Elimu Ni bure Mpaka kidato Cha sita huku bajeti ya mikopo ya Elimu ya juu ikipaa Hadi kufikia billioni Mia sita na pointi? Huoni ukarabati na ujenzi wa shule mbalimbali kwote nchini unaofanywa na serikali ya Rais wetu mchapa kazi mama Samia?
Huoni mapinduzi katika secta ya kilimo? Kwamba hukusikia kuwa serikali imetoa mabillioni ya Ruzuku takribani billioni Mia moja hamsini katika mbolea na hivyo kupelekea kushuka kwa Bei ya mbolea sokoni mfano mbolea ya DAP msimu uliopita ilikuwa inauzwa shillingi laki moja na 40 lakini msimu huu inapatikana kwa Elfu 70 tu?
Huoni namna mh Rais Rais alivyogusa maisha ya wakulima kwa uamuzi huo wa kizalendo na kijasiri? Huoni kwa Sasa namna kilimo kinavyowainua wakulima na kuwafuta wengi kujiongoza katika secta hii?
Huoni miradi ya bwawa la umeme na reli ya kisasa vikiendelea kwa Kasi nzuri? Huoni kukamilika kwa miradi hiyo inakwenda kulimulika na kuliangazia Taifa letu kila mahali? Huoni itachochea maendeleo ya viwanda kutokana na uwepo wa umeme wa uhakika? Huoni itapunguza Bei ya umeme na hivyo Bei ya bidhàa kuwa ya chini? Huoni kukamilika kwa rwli ya kisasa kutachochea usafirishaji wa bidhàa zetu na za majirani? Huoni bandari yetu ya Dar itapokea mizigo mingi na hivyo kuongeza mapato tutakayo wekeza katika secta nyingine Kama vile Elimu na Afya?
Kwamba hayo na mengi huyaoni? Kwamba wewe Ni kipofu? Au umetumwa? Au siyo mtanzania? Au unachuki binafsi na mh Rais wetu mpendwa kipenzi Cha watanzania mama Samia suluhu Hassani?
Jana nilinunua kg 25 za sembe ya mahindi kwa tsh. 44,000/=. Nchi hii kwa Sasa maisha ya mwananchi wa kawaida ni mateso makubwa Sana lakini kila uchao tunaambiwa kuhusu mikopo sijui ya kufanya Nini!.Badala ya kujibu alichouliza wewe umekuja na unayoyajua wewe
Mikopo inaenda wapi na inatumika kufanyia nini?
Bajeti ya nyumba za Marais wastaafu Huwa inapangwa katika bajeti Wala haihusiani na mikopo umiza ya Mama Maridhiano.Jibu hoja!Inajengea familia ya Magufuli nyumba hapa Dar.
Hivi tutalipa kwa Uchumi gani tulionao,usije kukuta huyu Mama Maridhiano anakopa Ili kulipa madeni yaliyoziba sehemu zingine.Kile kichwa siyo cha mipango bali matumizi.Mpaka sasa Mama amekopa Matrilioni mangapi ndugu zangu..!?
Lakini Matrilioni hayo ni kwa ajili ya nani!?? Yanaenda wapi hayo matrilioni!?? Mbona umasikini unazidi kutamalaki wazee...!
Lakini mpaka masikini wa kutupa analipa haya madeni. Mbona maisha yanazidi kuwa ya kifukara..!?
Kuna watu hapa nafikiria kuwaomba msamaha. Ipo siku nitawaomba msamaha hawa watu..
1. Hayati John Joseph Pombe Magufuli
2. Humphrey Polepole
3. Job Ndugai
4. Elvis Musiba..
Ehh! [emoji20][emoji20][emoji20][emoji20]
Shule ina wanafunzi elf 3 walimu 40 halafu anajitokeza mpumbavu mmoja anasema mama anaupiga mwingi!. Mwingi wa mafisadi January makamba na mwigulu madelu Nchemba na watoto wa vigogo kule hazina.Mkuu umeandika mambo Mengi ila ni ushabiki tu....hizo secta zinaendeshwa na akina nani wakati Mama kila siku ateua baraza jipya....hicho kilimo kafumua wizara...
Hollow headMbona unauliza maswali ambayo hata mtoto mdogo hawezi kuuliza,kwamba wewe huoni miradi mikubwa ya kimkakati inayotekelezwa na serikali yetu?...