Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama taifa tupo kwenye OMBWE... 😞😞Hivi tutalipa kwa Uchumi gani tulionao,usije kukuta huyu Mama Maridhiano anakopa Ili kulipa madeni yaliyoziba sehemu zingine.Kile kichwa siyo cha mipango bali matumizi.
Godfathers wa hii nchi wamwambie ajiuzuru au Bendera ipepee nusu mlingoti vinginevyo tutafilisika kama Ghana!
Bajeti ni mipango, hela zinatoka wapi? Au hiyo bajeti huwa inatolewa serekali ikiwa na hizo fedha mkononi?Bajeti ya nyumba za Marais wastaafu Huwa inapangwa katika bajeti Wala haihusiani na mikopo umiza ya Mama Maridhiano.Jibu hoja!
Mahindi yanalimwa,hayatoki mbinguni Wala kiwanda Cha serikali,kalime'Njaa hudhalilisha heshima na Uhuru wa nchi. Njaa utweza UTU wa binadamu". Dr. Bashiru Kakurwa Ali.
B-c-Mbona unauliza maswali ambayo hata mtoto mdogo hawezi kuuliza,kwamba wewe huoni miradi mikubwa ya kimkakati inayotekelezwa na serikali yetu? Huoni uwekezaji mkubwa na wakihistoria uliofanywa na serikali hii katika secta karibu zote? Huoni namna vituo vya Afya vinavyojengwa kila Kona ya nchi yetu? Huoni hospitali za mikoa Kanda Hadi Taifa zinavyoboreshwa na kuongezewa uwezo wa kiviifaa na wataalamu ili kuweza kutoa huduma za kibingwa ambazo awali ilikuwa Ni mpaka mgonjwa apelekwe nje ya nchi?
Huoni uboreshaji wa secta ya Elimu? Huoni uwekezaji wa mabillioni ya pesa katika secta hiyo ambayo yamechochea hata ongezeko ya fursa za ajira kwa vijana? Huoni kwa Sasa Hakuna mwanafunzi anayekaa nyumbani kwa kukosa Ada au uhaba wa madarasa?
Huoni kwa Sasa wanafunzi wote wanaripoti shuleni kwa wakati? Huoni kwa Sasa Elimu Ni bure Mpaka kidato Cha sita huku bajeti ya mikopo ya Elimu ya juu ikipaa Hadi kufikia billioni Mia sita na pointi? Huoni ukarabati na ujenzi wa shule mbalimbali kwote nchini unaofanywa na serikali ya Rais wetu mchapa kazi mama Samia?
Huoni mapinduzi katika secta ya kilimo? Kwamba hukusikia kuwa serikali imetoa mabillioni ya Ruzuku takribani billioni Mia moja hamsini katika mbolea na hivyo kupelekea kushuka kwa Bei ya mbolea sokoni mfano mbolea ya DAP msimu uliopita ilikuwa inauzwa shillingi laki moja na 40 lakini msimu huu inapatikana kwa Elfu 70 tu?
Huoni namna mh Rais Rais alivyogusa maisha ya wakulima kwa uamuzi huo wa kizalendo na kijasiri? Huoni kwa Sasa namna kilimo kinavyowainua wakulima na kuwafuta wengi kujiongoza katika secta hii?
Huoni miradi ya bwawa la umeme na reli ya kisasa vikiendelea kwa Kasi nzuri? Huoni kukamilika kwa miradi hiyo inakwenda kulimulika na kuliangazia Taifa letu kila mahali? Huoni itachochea maendeleo ya viwanda kutokana na uwepo wa umeme wa uhakika?
Huoni itapunguza Bei ya umeme na hivyo Bei ya bidhà a kuwa ya chini? Huoni kukamilika kwa rwli ya kisasa kutachochea usafirishaji wa bidhà a zetu na za majirani? Huoni bandari yetu ya Dar itapokea mizigo mingi na hivyo kuongeza mapato tutakayo wekeza katika secta nyingine Kama vile Elimu na Afya?
Kwamba hayo na mengi huyaoni? Kwamba wewe ni kipofu? Au umetumwa? Au siyo mtanzania? Au unachuki binafsi na mh Rais wetu mpendwa kipenzi Cha watanzania mama Samia suluhu Hassani?
WACHA NCHI IKOPE ILI MRADI WATAKAOLIPA BADO HAWAJAZALIWAMpaka sasa Mama amekopa Matrilioni mangapi ndugu zangu..!?
Lakini Matrilioni hayo ni kwa ajili ya nani!?? Yanaenda wapi hayo matrilioni!?? Mbona umasikini unazidi kutamalaki wazee.
Lakini mpaka masikini wa kutupa analipa haya madeni. Mbona maisha yanazidi kuwa ya kifukara?
Kuna watu hapa nafikiria kuwaomba msamaha. Ipo siku nitawaomba msamaha hawa watu..
1. Hayati John Joseph Pombe Magufuli
2. Humphrey Polepole
3. Job Ndugai
4. Elvis Musiba..
Ehh! [emoji20][emoji20][emoji20][emoji20]
1. Hizo dola tunazihitaji. BOT watatupa Tshs zitakazoumika kwenye miradi iliyotajwa halafu tunawapa dola ili reserve ya dola iongezeke kwa ajili ya mahitaji ya imports. Kumbuka importation ni lazima kwa sababu sio sisi tu, mataifa yote dunaini hayajaweza kujitosheleza kwa mahitaji, let alone third world kantriiz.Mpaka sasa Mama amekopa Matrilioni mangapi ndugu zangu..!?
Lakini Matrilioni hayo ni kwa ajili ya nani!?? Yanaenda wapi hayo matrilioni!?? Mbona umasikini unazidi kutamalaki wazee.
Lakini mpaka masikini wa kutupa analipa haya madeni. Mbona maisha yanazidi kuwa ya kifukara?
Kuna watu hapa nafikiria kuwaomba msamaha. Ipo siku nitawaomba msamaha hawa watu..
1. Hayati John Joseph Pombe Magufuli
2. Humphrey Polepole
3. Job Ndugai
4. Elvis Musiba..
Ehh! 😞😞😞😞
Kununua mashangingi + posho za wakubwaMpaka sasa Mama amekopa Matrilioni mangapi ndugu zangu..!?
Lakini Matrilioni hayo ni kwa ajili ya nani!?? Yanaenda wapi hayo matrilioni!?? Mbona umasikini unazidi kutamalaki wazee.
Lakini mpaka masikini wa kutupa analipa haya madeni. Mbona maisha yanazidi kuwa ya kifukara?
Kuna watu hapa nafikiria kuwaomba msamaha. Ipo siku nitawaomba msamaha hawa watu..
1. Hayati John Joseph Pombe Magufuli
2. Humphrey Polepole
3. Job Ndugai
4. Elvis Musiba..
Ehh! 😞😞😞😞
nchi iko hatarini.ukikopa sana hata uhuru wako wa kujiamini unapungua.kwa hali hii wazungu watakuja kunadi na kukamata rasilimali zetu muda si mrefu.si mmesikia nchii kama misri imefilisika na imeanza kuuza rasilimali zake nchi za Ghuba na kwetu hii si dalili nzuri.wale wanaoshabikia hiyo mikopo tutakuja kusutana humu ndani.mzaha mzaha hutumbua usaa.Hayo matrilioni yanayosainiwa kila siku yanaenda wapi?
Mm nlnunua mchele kilo 5 kwa 15000 kwel tunaenda kupotea kabsaJana nilinunua kg 25 za sembe ya mahindi kwa tsh. 44,000/=. Nchi hii kwa Sasa maisha ya mwananchi wa kawaida ni mateso makubwa Sana lakini kila uchao tunaambiwa kuhusu mikopo sijui ya kufanya Nini!.
'Njaa hudhalilisha heshima na Uhuru wa nchi. Njaa utweza UTU wa binadamu". Dr. Bashiru Kakurwa Ali.
jibu hoja mkuu achana na maneno ya kukalilishwa hapo inatakiwa ueleze mikopo tunayopata imenufaishaje ummaNyie sukuma gang hammalizi tu msiba? Enzi zenu za kuchafua nchi zimepita.
Umeambiwa deni Lina riba ndogo na grace period kubwa wee hofu Yako nini mwaisa. Piga biaaa maisha yaendeleeMpaka sasa Mama amekopa Matrilioni mangapi ndugu zangu..!?
Lakini Matrilioni hayo ni kwa ajili ya nani!?? Yanaenda wapi hayo matrilioni!?? Mbona umasikini unazidi kutamalaki wazee.
Lakini mpaka masikini wa kutupa analipa haya madeni. Mbona maisha yanazidi kuwa ya kifukara?
Kuna watu hapa nafikiria kuwaomba msamaha. Ipo siku nitawaomba msamaha hawa watu..
1. Hayati John Joseph Pombe Magufuli
2. Humphrey Polepole
3. Job Ndugai
4. Elvis Musiba..
Ehh! 😞😞😞😞
Na kugharamia Mikutano ya Chadema na NAULI za akina LemaInajengea familia ya Magufuli nyumba hapa Dar.
Kwani wewe husomi yanakoenda? Unauliza kama mbumbumbuMpaka sasa Mama amekopa Matrilioni mangapi ndugu zangu..!?
Lakini Matrilioni hayo ni kwa ajili ya nani!?? Yanaenda wapi hayo matrilioni!?? Mbona umasikini unazidi kutamalaki wazee.
Lakini mpaka masikini wa kutupa analipa haya madeni. Mbona maisha yanazidi kuwa ya kifukara?
Kuna watu hapa nafikiria kuwaomba msamaha. Ipo siku nitawaomba msamaha hawa watu..
1. Hayati John Joseph Pombe Magufuli
2. Humphrey Polepole
3. Job Ndugai
4. Elvis Musiba..
Ehh! 😞😞😞😞
Ww nafaidika na kipi!!??Nyie sukuma gang hammalizi tu msiba? Enzi zenu za kuchafua nchi zimepita.
Inauma sana mkuuJana nilinunua kg 25 za sembe ya mahindi kwa tsh. 44,000/=. Nchi hii kwa Sasa maisha ya mwananchi wa kawaida ni mateso makubwa Sana lakini kila uchao tunaambiwa kuhusu mikopo sijui ya kufanya Nini!.
'Njaa hudhalilisha heshima na Uhuru wa nchi. Njaa utweza UTU wa binadamu". Dr. Bashiru Kakurwa Ali.
Mkuu na wanaokuja kushangilia huu ujinga tunao humu humu na wengine tunapishana tu kwenye maduka ya wachaga wanakopa kama sisi,kinachwaharibu vijana Mama kaifanya Siasa imekuwa kama kupenga tu Kamasi....wanashabikia na kushangilia huku wakisubilia tu teuzi.Shule ina wanafunzi elf 3 walimu 40 halafu anajitokeza mpumbavu mmoja anasema mama anaupiga mwingi!. Mwingi wa mafisadi January makamba na mwigulu madelu Nchemba na watoto wa vigogo kule hazina.
Wananchi tunateseka halafu anajitokeza mtu kutulalamikia kuwa mawaziri na makatibu wakuu hawaelewani!. Kama hawaelewani ni kwa nn usiwawekee kandoo uteue lundo la watanzania wataalamu ambao wamejaa mtaaani bila ajira?.
Wananchi tunanjaa anajitokeza mtu kutuambia kuwa anafikiria kuongeza wizara ofisini kwake ili kutengeneza watu ulaji!.