Mikopo inatisha, yanaenda wapi hayo matrilioni!

Kama taifa tupo kwenye OMBWE... 😞😞
 
Bajeti ya nyumba za Marais wastaafu Huwa inapangwa katika bajeti Wala haihusiani na mikopo umiza ya Mama Maridhiano.Jibu hoja!
Bajeti ni mipango, hela zinatoka wapi? Au hiyo bajeti huwa inatolewa serekali ikiwa na hizo fedha mkononi?
 
Mana nilinunua kg 25 za sembe ya mahindi kwa tsh. 44,000/=. Nchi hii kwa Sasa maisha ya mwananchi wa kawaida ni mateso makubwa Sana lakini kila uchao tunaambiwa kuhusu mikopo sijui ya kufanya Nini!.
'Njaa hudhalilisha heshima na Uhuru wa nchi. Njaa utweza UTU wa binadamu". Dr. Bashiru Kakurwa Ali.
Mahindi yanalimwa,hayatoki mbinguni Wala kiwanda Cha serikali,kalime
 
B-c-
 
WACHA NCHI IKOPE ILI MRADI WATAKAOLIPA BADO HAWAJAZALIWA
 
1. Hizo dola tunazihitaji. BOT watatupa Tshs zitakazoumika kwenye miradi iliyotajwa halafu tunawapa dola ili reserve ya dola iongezeke kwa ajili ya mahitaji ya imports. Kumbuka importation ni lazima kwa sababu sio sisi tu, mataifa yote dunaini hayajaweza kujitosheleza kwa mahitaji, let alone third world kantriiz.
2. Mikopo husaidia kuharakisha maendeleo na kufanya capacity building katika eneo la mapato na kuchaji uchumi.
3. Mikopo pia huongeza uwezo wa kulipa madeni ambayo riba zake zimeiva. Mikopo ambayo muda wake wa kulipa umefika. Mikopo haiepukiki katika current World Order.
4. Wakopeshaji wanajileta wenyewe. Ni kama mabenki yanavyokuja huku kwenye taasisi zetu kutangaza fursa za kukopa kwa riba nafuu.
 
Kununua mashangingi + posho za wakubwa
 
Hayo matrilioni yanayosainiwa kila siku yanaenda wapi?
nchi iko hatarini.ukikopa sana hata uhuru wako wa kujiamini unapungua.kwa hali hii wazungu watakuja kunadi na kukamata rasilimali zetu muda si mrefu.si mmesikia nchii kama misri imefilisika na imeanza kuuza rasilimali zake nchi za Ghuba na kwetu hii si dalili nzuri.wale wanaoshabikia hiyo mikopo tutakuja kusutana humu ndani.mzaha mzaha hutumbua usaa.
 
Mm nlnunua mchele kilo 5 kwa 15000 kwel tunaenda kupotea kabsa
 
Umeambiwa deni Lina riba ndogo na grace period kubwa wee hofu Yako nini mwaisa. Piga biaaa maisha yaendelee
 
Kwani wewe husomi yanakoenda? Unauliza kama mbumbumbu
 
Inauma sana mkuu
 
Mkuu na wanaokuja kushangilia huu ujinga tunao humu humu na wengine tunapishana tu kwenye maduka ya wachaga wanakopa kama sisi,kinachwaharibu vijana Mama kaifanya Siasa imekuwa kama kupenga tu Kamasi....wanashabikia na kushangilia huku wakisubilia tu teuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…