Crystal field theory
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 940
- 401
Umechelewa kwani Huduma za kutoa medical application zimesitishwa, labda unitumie email address yako ili niweze kukutumia medical application form ambayo ninayo.
Je kuripoti bado ni tarehe nane na je mikopo vipi unataarifa zozote kama umepata ama la kwani kwa jamaa yangu bado ni blank
Kizazi hiki bado kuna watu wanasoma diploma?!!
Thanks!Kuripoti chuoni ni tarehe 8/11/2014 na mkopo kwa special diploma udom bado haujatoka mpaka leo.