Mikopo kwa diploma maalumu UDOM

Mikopo kwa diploma maalumu UDOM

Crystal field theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2014
Posts
940
Reaction score
401
Habr zenu wana jf. .naomben kufahamishwa majina ya waliomba mikopo kama yameshatoka, manake leo tarh 2 bado kimya na tarh 8 nikuripoti, msaada jamani,
 
Vuta subira kdogo, huenda ikatolewa ndani ya wiki hii inayoanza kesho.
 
Kiukweli watu wamesubiri mpaka inaboa sio siri
Kama hakuna si watuambie hakuna tujue chakufanya mapema
 
Tutapataa. . . Heslb wenyew washasema vgezo ni kwamba, 1.uwe mtanzania, 2.umri chn ya miaka 35, 3.umeptb div 1~3 4.uwe umechaguliwa udom na 5.uwe umeaply loan, ondoen mashaka wiki hii haishi watatoa au huenda kuna utartbu malum,
 
Kwani waliokosa waliochaguliwa kujiunga na degree sio WATANZANIA?
.
usijifariji sana kijana!
maana unaanza kujijibu.
 
j3 imeisha hyo hata dalili hamna wadau na jmoc ndo hyo kuripot chuo cjui itakuwaje....
 
Ile ni xpexho program na walihaid lazma watoe mkopo ili wanafunz waweze kujkmu xo 2waxubr wafanye yao
 
Wakuu nawaombeni mnisaidie namna ya kupata fomu maalum ya kwenda kuangalia afya hospitali. Pia mkopo je,unatoka lini? Coz nina mdg wangu, haujui namna ya kupata fom wala muelekeo wa mkopo
 
Umechelewa kwani Huduma za kutoa medical application zimesitishwa, labda unitumie email address yako ili niweze kukutumia medical application form ambayo ninayo.
 
Umechelewa kwani Huduma za kutoa medical application zimesitishwa, labda unitumie email address yako ili niweze kukutumia medical application form ambayo ninayo.

Je kuripoti bado ni tarehe nane na je mikopo vipi unataarifa zozote kama umepata ama la kwani kwa jamaa yangu bado ni blank
 
Je kuripoti bado ni tarehe nane na je mikopo vipi unataarifa zozote kama umepata ama la kwani kwa jamaa yangu bado ni blank

Kuripoti chuoni ni tarehe 8/11/2014 na mkopo kwa special diploma udom bado haujatoka mpaka leo.
 
ndani ya cku hz mbili kama hawakutoa majina bac mm na ndoto za kuxoma chuo ndo mwisho coz salary iz impocble.
 
Watatudisapoint sana. .ahadi zote zile kwenye tangazo la coarse yenyewe kwenye web yao,heslb, adi kwenye magazet. .itauma sana, na mbya zaidi kutupelekea tarh mbele ya kurpot!
 
Back
Top Bottom