Mikopo kwa njia ya simu kilio kipya kwa Watanzania

Nikikumbuka niliwahi kupigiwa simu na kuambiwa nadaiwa na microfinance moja mtandaoni, jamaa nilipomwambia sina kitu nilisikia akicheka na kukata simu kumbe kucheka inaweza kuwa ndio taarifa zangu zilitumwa huko πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hatimaye nimeshinda Dispute yangu Creditinfo na bank wamenipatia mkopo kama nilivoomba
 
Me
Me pia niliwahi kuomba mwezi wa saba wakaniambia hivyo CRDB badae nikafuatilia nikaona wananilusha nikawaambia CRDB wanifutie maombi yangu ya mkopo kumbe walikuwa washapitisha makato mwisho wa mwez wakakata nikawapigia siku hiyo hiyo wakaniwekea changu chap so ongea na afisa wa mikopo tu chap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…