Riba za Crdb na NMB zipo sawa
Fafanua kwenye RED Mkuucrdb inatoa mikopo mikubwa ila wana process ndefu hadi wakupatie.nmb wanamikopo midogo ila wanakupa ndani ya muda mfupi sana unaweza ukaanza process ndani ya siku tatu ukachukua mkopo. ukitaka mikopo yenye hela ndefu nenda EQUITY wanaweza kukupa hadi mil20 wanabranch yao mwenge na bagamoyo ila sijajua kwa mikoani.pia ukitaka kukopa inashauriwa nenda kakope mwezi wa sita maana benki nyingi huongeza viwango vya kukopesha.pia kama unataka kukopa bila riba unaweza kwenda kukopa PBZ ipo mtaa wa lumumba,karibu na ofisi ndogo ya ccm hapa dar es salaam,wanatoa mikopo mizuri hata kama mshahara wako unapitia kwenye benki nyingine ila wao hutaka wakukute kwanza kwa miezi mitatu ndo wakukopeshe unachotaka ukopeshwe.
Fafanua kwenye RED Mkuu
mkuu...unaongelea walimu wa mjini...asilimia kubwa wako mashambani...hizi benki zinaishia mjini...crdb inatoa mikopo mikubwa ila wana process ndefu hadi wakupatie.nmb wanamikopo midogo ila wanakupa ndani ya muda mfupi sana unaweza ukaanza process ndani ya siku tatu ukachukua mkopo. ukitaka mikopo yenye hela ndefu nenda EQUITY wanaweza kukupa hadi mil20 wanabranch yao mwenge na bagamoyo ila sijajua kwa mikoani.pia ukitaka kukopa inashauriwa nenda kakope mwezi wa sita maana benki nyingi huongeza viwango vya kukopesha.pia kama unataka kukopa bila riba unaweza kwenda kukopa PBZ ipo mtaa wa lumumba,karibu na ofisi ndogo ya ccm hapa dar es salaam,wanatoa mikopo mizuri hata kama mshahara wako unapitia kwenye benki nyingine ila wao hutaka wakukute kwanza kwa miezi mitatu ndo wakukopeshe unachotaka ukopeshwe.
ukishapewa mkopo wanarudisha ilo rejesho au ndio imetoka?mkuu utaratibu wao waliojiwekea ni kuwa kabla hawajakukopesha unachotaka kukopa,utatakiwa kwanza uwape marejesho ya miezi mitatu ya kiasi utakacho takiwa kurejesha kila mwezi.ukishamaliza miezi mitatu ndo wanakupa kile unachohitaji.nadhani kuna link yao ipo google nadhani unaweza ukagoogle na ukayapata maelezo ya kutosha mkuu
NMB iko vizuri sana na ni benki ya walalahoi wa Tanzania , tuiunge mkono.
NMB iko vizuri sana na ni benki ya walalahoi wa Tanzania , tuiunge mkono.
nilienda kuuliza bank mbili juzi. nikaanza na crdb wakaniambia kwa salari yangu maximum watanipa 11,300,000 kwa miaka 6 na watanikata 257,000. nikaenda nmb wakaniambia maximum watanipa 9,500,000 na watanikata 251,000. Kimsingi hakuna tofauti za riba
CRDB wanaweza kopesha miaka 6?Tofauti ya riba ipo mkuu.,Hizi benk mbili Mikopo ya watumishi NMB ni 20% na CRDB ni,24% na mara nying CRDB watakuambia ni 20%..,kuna 4% huwa hawaionyeshi ila iko ktk makato ambapo 2% inakatwa kwenda PASS.,1.5 inakatwa kama gharama za mkopo.,na 0.5% hukatwa kama gharama za benk