akili akili
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,737
- 1,102
Samahani wakuu, hivi inachukua muda gani kupata mkopo once documents zinapokuwa submitted .....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndg mi nahitaji milioni 9 kutoka crdb kwa miaka 6 na makato Yake nataka waongeze badala ya 174000 iwe 220000 kwa mwezi inawezekana?Acha kupotosha mkuu..
Riba ya CRDB kwa personal loans zote ni 18%(ikihusisha na 1% ya bima ndani yake) wala sio 24% kama unavodai.
Ila mkopo wowote wa Crdb kama ilivyo kwa benki nyingine lzm kuwepo na ada.
●Kwa CRDB iko ni 1.1% ya mkopo ni Loan application fee na minimum ni 110,000
●0.55% ya mkopo ni Loan processing fee na minimum ni 55,000
Kwa mfano mikopo yote inayoanzia 5,000,000 na kushuka had 1,500,000 ada yake ni 165,000 tu(minimum threshold) ambayo ni one-time fee.
●Na kuanzia mwezi Disemba mwaka CRDB inakopesha hadi miaka 6.
Huu ndo ukweli na huhitaji kujua mimi ni nani CRDB ili uniamini
vipi kama hujathibitishwa na unahitajiUtaratibu ni rahisi tu
●Barua ya kuajiriwa
●Barua ya kuthibitishwa kazini
●Salary slip za miezi 3 ya karibuni
●Picha(passport size) mbili
●Barua ya utambulisho kutoka kwa mwajiri
●Barua yako ya kuomba mkopo(ipitie kwa mkuu wa kituo chakp cha kazi)
●Bank statement ya angalau miez mitatu ya unakopitia mshahara wako
●Kitambulisho chako,e.g cha kazi,cha kupira kura etc
Na lazima uwe na akaunti katika benki ya CRDB ambako mkopo wako utawekwa huko .
Ni hivo tu
Uwe umemaliza mwaka kazini,na kwasababu za ki-formality labda uwe hujapata barua ya uthibitisho mfano labda barua yako ya kuthibitishwa na hapo MWAJIRI wako ana-undertake guarantee kwa kuiandikia benki na kuiomba ikukopeshe..vipi kama hujathibitishwa na unahitaji
na CRDB BANK piaTanzania Postal Bank wanakopesha miaka 6
Mkuu, wilaya niloyopo hakuna tawi la hilo benk, je wanakubali nikienda kukopea wilaya nyingne?Mikopo mizuri ya wafanyakazi ipo Benki ya Posta.
pia kuna mikopo kama:
- YA VIKUNDI, just cha watu 5-10
-SACCOS
-VICOBA
-WASTAAFU wa PSPF,PPF,NSSF,GEPF,LAPF
-WAFANYAKAZI
-YA ELIMU KWA WANAOCHANGIA PSPF na GEPF
-YA KUANZA MAISHA KWA WANAOCHANGIA PSPF NA GEPF
-BIASHARA KUBWA
-BIASHARA NDOGO NDOGO
Pia,
mikopo ya wafanyakazi inatolewa hadi miaka 6 na kwa wastaafu hadi miaka 4
Riba zao ziko chini sana yaani wafanyakazi ni 13 kwa waajiri wazuri na 15 kwa waajiri wanaochelewesha makato.
Tembelea tawi la Benki ya Posta lililoko karibu kuthibitisha haya.
Mdau hebu dadavua hizo interest rates....zikoje hasa....ni strait line au reducing?! Pia hebu tupia other charges kama zipo....zaidi ya hapo tupia rejesho la mkopo wa tzs mil 5 kwa miaka 6....je nitalipa rejesho la tsh ngap kwa mwez na je mkopo wangu pamoja na riba itakuwa tsh ngap?!....karibu mkombozi wetu wa kweli ....tupia nondo hapa bila kupepesa jicho!Mikopo mizuri ya wafanyakazi ipo Benki ya Posta.
pia kuna mikopo kama:
- YA VIKUNDI, just cha watu 5-10
-SACCOS
-VICOBA
-WASTAAFU wa PSPF,PPF,NSSF,GEPF,LAPF
-WAFANYAKAZI
-YA ELIMU KWA WANAOCHANGIA PSPF na GEPF
-YA KUANZA MAISHA KWA WANAOCHANGIA PSPF NA GEPF
-BIASHARA KUBWA
-BIASHARA NDOGO NDOGO
Pia,
mikopo ya wafanyakazi inatolewa hadi miaka 6 na kwa wastaafu hadi miaka 4
Riba zao ziko chini sana yaani wafanyakazi ni 13 kwa waajiri wazuri na 15 kwa waajiri wanaochelewesha makato.
Tembelea tawi la Benki ya Posta lililoko karibu kuthibitisha haya.
Mi Nina mkopo hapo nlichukua m 4.5 wanakata 132 kwa 5yearsMdau hebu dadavua hizo interest rates....zikoje hasa....ni strait line au reducing?! Pia hebu tupia other charges kama zipo....zaidi ya hapo tupia rejesho la mkopo wa tzs mil 5 kwa miaka 6....je nitalipa rejesho la tsh ngap kwa mwez na je mkopo wangu pamoja na riba itakuwa tsh ngap?!....karibu mkombozi wetu wa kweli ....tupia nondo hapa bila kupepesa jicho!
Samahani mkuu unaweza ukaiweka iyo Link niipitie apo. Maana apa Google Kuna link nyingi sanamkuu utaratibu wao waliojiwekea ni kuwa kabla hawajakukopesha unachotaka kukopa,utatakiwa kwanza uwape marejesho ya miezi mitatu ya kiasi utakacho takiwa kurejesha kila mwezi.ukishamaliza miezi mitatu ndo wanakupa kile unachohitaji.nadhani kuna link yao ipo google nadhani unaweza ukagoogle na ukayapata maelezo ya kutosha mkuu
crdb riba 18 na nmb riba 20...
crdb wanatoa mpaka miaka6 wakati nmb 5..
Kwa iyo jumla yake ni 18% ya Riba, application fee ni 1.1% na iyo nyingine ni 0.5%Acha kupotosha mkuu..
Riba ya CRDB kwa personal loans zote ni 18%(ikihusisha na 1% ya bima ndani yake) wala sio 24% kama unavodai.
Ila mkopo wowote wa Crdb kama ilivyo kwa benki nyingine lzm kuwepo na ada.
●Kwa CRDB iko ni 1.1% ya mkopo ni Loan application fee na minimum ni 110,000
●0.55% ya mkopo ni Loan processing fee na minimum ni 55,000
Kwa mfano mikopo yote inayoanzia 5,000,000 na kushuka had 1,500,000 ada yake ni 165,000 tu(minimum threshold) ambayo ni one-time fee.
●Na kuanzia mwezi Disemba mwaka CRDB inakopesha hadi miaka 6.
Huu ndo ukweli na huhitaji kujua mimi ni nani CRDB ili uniamini
dah! Wanakupiga asilimia 25, kubwa sana....Mi Nina mkopo hapo nlichukua m 4.5 wanakata 132 kwa 5years
Du hii kali.Kama umechukua Mil 4.5
Wanakata 132,000 kwa miaka 5 yenye miezi 12
132,000*5*12=7,920,000
7,920,000-4,500,000=3,420,000
3,420,000/4,500,000*100=76%
Apo ni asilimia 76% apo unakuwa unaifanyia kazi benki
Asilimia kubwa ktk maesabu mabenki ayawaeleweshi vizuri watu
Shida ni mwalimu wa hesabu....alikuwa mkali mno...tukamchukia...tukampuuuza......sasa...inakula kwetu mazima!Du hii kali.
Kweli mkuu ogopa sana mtu anayecheza na namba yaani wanavuta pesa taratiiibu ka hawataki vile wakati mkopo waliokupa hata ukumbuki unaifanyia nini. Aisee.Shida ni mwalimu wa hesabu....alikuwa mkali mno...tukamchukia...tukampuuuza......sasa...inakula kwetu mazima!