Mikopo kwa walimu, NMB vs CRDB

Mikopo kwa walimu, NMB vs CRDB

Samahani wakuu, hivi inachukua muda gani kupata mkopo once documents zinapokuwa submitted .....
 
Acha kupotosha mkuu..
Riba ya CRDB kwa personal loans zote ni 18%(ikihusisha na 1% ya bima ndani yake) wala sio 24% kama unavodai.
Ila mkopo wowote wa Crdb kama ilivyo kwa benki nyingine lzm kuwepo na ada.
●Kwa CRDB iko ni 1.1% ya mkopo ni Loan application fee na minimum ni 110,000
●0.55% ya mkopo ni Loan processing fee na minimum ni 55,000
Kwa mfano mikopo yote inayoanzia 5,000,000 na kushuka had 1,500,000 ada yake ni 165,000 tu(minimum threshold) ambayo ni one-time fee.
●Na kuanzia mwezi Disemba mwaka CRDB inakopesha hadi miaka 6.
Huu ndo ukweli na huhitaji kujua mimi ni nani CRDB ili uniamini
Ndg mi nahitaji milioni 9 kutoka crdb kwa miaka 6 na makato Yake nataka waongeze badala ya 174000 iwe 220000 kwa mwezi inawezekana?
 
Utaratibu ni rahisi tu
●Barua ya kuajiriwa
●Barua ya kuthibitishwa kazini
●Salary slip za miezi 3 ya karibuni
●Picha(passport size) mbili
●Barua ya utambulisho kutoka kwa mwajiri
●Barua yako ya kuomba mkopo(ipitie kwa mkuu wa kituo chakp cha kazi)
●Bank statement ya angalau miez mitatu ya unakopitia mshahara wako
●Kitambulisho chako,e.g cha kazi,cha kupira kura etc
Na lazima uwe na akaunti katika benki ya CRDB ambako mkopo wako utawekwa huko .
Ni hivo tu
vipi kama hujathibitishwa na unahitaji
 
vipi kama hujathibitishwa na unahitaji
Uwe umemaliza mwaka kazini,na kwasababu za ki-formality labda uwe hujapata barua ya uthibitisho mfano labda barua yako ya kuthibitishwa na hapo MWAJIRI wako ana-undertake guarantee kwa kuiandikia benki na kuiomba ikukopeshe..
 
Mikopo mizuri ya wafanyakazi ipo Benki ya Posta.
pia kuna mikopo kama:
- YA VIKUNDI, just cha watu 5-10
-SACCOS
-VICOBA
-WASTAAFU wa PSPF,PPF,NSSF,GEPF,LAPF
-WAFANYAKAZI
-YA ELIMU KWA WANAOCHANGIA PSPF na GEPF
-YA KUANZA MAISHA KWA WANAOCHANGIA PSPF NA GEPF
-BIASHARA KUBWA
-BIASHARA NDOGO NDOGO
Pia,

mikopo ya wafanyakazi inatolewa hadi miaka 6 na kwa wastaafu hadi miaka 4

Riba zao ziko chini sana yaani wafanyakazi ni 13 kwa waajiri wazuri na 15 kwa waajiri wanaochelewesha makato.

Tembelea tawi la Benki ya Posta lililoko karibu kuthibitisha haya.
 
Mkuu, wilaya niloyopo hakuna tawi la hilo benk, je wanakubali nikienda kukopea wilaya nyingne?
 
Mikopo mizuri ya wafanyakazi ipo Benki ya Posta.
pia kuna mikopo kama:
- YA VIKUNDI, just cha watu 5-10
-SACCOS
-VICOBA
-WASTAAFU wa PSPF,PPF,NSSF,GEPF,LAPF
-WAFANYAKAZI
-YA ELIMU KWA WANAOCHANGIA PSPF na GEPF
-YA KUANZA MAISHA KWA WANAOCHANGIA PSPF NA GEPF
-BIASHARA KUBWA
-BIASHARA NDOGO NDOGO
Pia,

mikopo ya wafanyakazi inatolewa hadi miaka 6 na kwa wastaafu hadi miaka 4

Riba zao ziko chini sana yaani wafanyakazi ni 13 kwa waajiri wazuri na 15 kwa waajiri wanaochelewesha makato.

Tembelea tawi la Benki ya Posta lililoko karibu kuthibitisha haya.
Mdau hebu dadavua hizo interest rates....zikoje hasa....ni strait line au reducing?! Pia hebu tupia other charges kama zipo....zaidi ya hapo tupia rejesho la mkopo wa tzs mil 5 kwa miaka 6....je nitalipa rejesho la tsh ngap kwa mwez na je mkopo wangu pamoja na riba itakuwa tsh ngap?!....karibu mkombozi wetu wa kweli ....tupia nondo hapa bila kupepesa jicho!
 
Mi Nina mkopo hapo nlichukua m 4.5 wanakata 132 kwa 5years
 
Hivi mnajua sababu ya mikopo lakini au mnataka tu kukopa ukanunue ili uweke heshima mtaani na bar zen maumivu yanayofuata, nmb hawawezi kukukopesha hyo miaka sita wala hawawezi kukuambia watakupa mihela mingi ili iweje? Kwanza nmb wanapokukopesha lazima wahakikishe 40% ya mshahara wako inabaki kwa akaunti zats y sometime utaona kiwango kidogo cha pesa, crdb wako radhi ata ubaki unapokea elfu kumi kitu ambacho c sahihi, muelimike msikope kwa kufuata mkumbo
 
mkuu utaratibu wao waliojiwekea ni kuwa kabla hawajakukopesha unachotaka kukopa,utatakiwa kwanza uwape marejesho ya miezi mitatu ya kiasi utakacho takiwa kurejesha kila mwezi.ukishamaliza miezi mitatu ndo wanakupa kile unachohitaji.nadhani kuna link yao ipo google nadhani unaweza ukagoogle na ukayapata maelezo ya kutosha mkuu
Samahani mkuu unaweza ukaiweka iyo Link niipitie apo. Maana apa Google Kuna link nyingi sana
crdb riba 18 na nmb riba 20...
crdb wanatoa mpaka miaka6 wakati nmb 5..
 
Acha kupotosha mkuu..
Riba ya CRDB kwa personal loans zote ni 18%(ikihusisha na 1% ya bima ndani yake) wala sio 24% kama unavodai.
Ila mkopo wowote wa Crdb kama ilivyo kwa benki nyingine lzm kuwepo na ada.
●Kwa CRDB iko ni 1.1% ya mkopo ni Loan application fee na minimum ni 110,000
●0.55% ya mkopo ni Loan processing fee na minimum ni 55,000
Kwa mfano mikopo yote inayoanzia 5,000,000 na kushuka had 1,500,000 ada yake ni 165,000 tu(minimum threshold) ambayo ni one-time fee.
●Na kuanzia mwezi Disemba mwaka CRDB inakopesha hadi miaka 6.
Huu ndo ukweli na huhitaji kujua mimi ni nani CRDB ili uniamini
Kwa iyo jumla yake ni 18% ya Riba, application fee ni 1.1% na iyo nyingine ni 0.5%
Kwa iyo jumla ni 19.60%
Kwa iyo kama umekopa Tshs 10,000,000
Asilimia 19.60% ya iyo million 10.
Itakuwa ni Tshs1,960,000
10,000,000 +1,960,000= 11,960,000
 
Kama umechukua Mil 4.5
Wanakata 132,000 kwa miaka 5 yenye miezi 12
132,000*5*12=7,920,000
7,920,000-4,500,000=3,420,000
3,420,000/4,500,000*100=76%

Apo ni asilimia 76% apo unakuwa unaifanyia kazi benki
Asilimia kubwa ktk maesabu mabenki ayawaeleweshi vizuri watu
 
Du hii kali.
 
Benki na Saccos nyingi Tanzania zinapiga pesa nyingi sana. Watu wanaokopa kuanzia laki 3 mpaka milioni 3. Kwa viwango vya kodi ambavyo wanafanya wanapata faida nyingi sana kwa sbb wanawachaji watu asilimia nyingi sana na ukijalibu kuwabana wanawapa vigezo eti Risk Charges. Ambayo ni uongo mtupu izi pesa ndogo wanazokopa watu nyingine ktk benki unapewa vigezo ambavyo mwanzo ukuambiwa.
Tanzania imefikia kipindi tumuogope mungu izi taasisi zinadhulumu sana. Usiombe uchukue mkopo kwa kuweka hati ya nyumba watataka wakuwekee vigezo ambavyo vitawasaidia Kuchukua nyumba yako
 
Back
Top Bottom