Natafuta kiki
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 911
- 1,294
Mkuu vipi kwa waajiriwa wapya ambao hawana barua za uthibitisho kazini but wanahitaji mkopoUtaratibu ni rahisi tu
●Barua ya kuajiriwa
●Barua ya kuthibitishwa kazini
●Salary slip za miezi 3 ya karibuni
●Picha(passport size) mbili
●Barua ya utambulisho kutoka kwa mwajiri
●Barua yako ya kuomba mkopo(ipitie kwa mkuu wa kituo chakp cha kazi)
●Bank statement ya angalau miez mitatu ya unakopitia mshahara wako
●Kitambulisho chako,e.g cha kazi,cha kupira kura etc
Na lazima uwe na akaunti katika benki ya CRDB ambako mkopo wako utawekwa huko .
Ni hivo tu
fika bank ABC japo riba yake nasikia si yakitotoMkuu vipi kwa waajiriwa wapya ambao hawana barua za uthibitisho kazini but wanahitaji mkopo
Dadeki huko hata kwa dawa siendfika bank ABC japo riba yake nasikia si yakitoto
Zote riba haipishani sanaDadeki huko hata kwa dawa siend
mwezi Disemba ya mwaka upi?Acha kupotosha mkuu..
Riba ya CRDB kwa personal loans zote ni 18%(ikihusisha na 1% ya bima ndani yake) wala sio 24% kama unavodai.
Ila mkopo wowote wa Crdb kama ilivyo kwa benki nyingine lzm kuwepo na ada.
●Kwa CRDB iko ni 1.1% ya mkopo ni Loan application fee na minimum ni 110,000
●0.55% ya mkopo ni Loan processing fee na minimum ni 55,000
Kwa mfano mikopo yote inayoanzia 5,000,000 na kushuka had 1,500,000 ada yake ni 165,000 tu(minimum threshold) ambayo ni one-time fee.
●Na kuanzia mwezi Disemba mwaka CRDB inakopesha hadi miaka 6.
Huu ndo ukweli na huhitaji kujua mimi ni nani CRDB ili uniamini
CRDB wako vizuri sana katika hili Muhimu ww kama mkopaji umalize process ndani ya muda mwafaka af mikopo sikuizi inachukua siku tano za kazi hivo kama unahitaji mkopo mkubwa na wenye tija huto juta kuchukua Mkopo CRDB na kitu cha msingi riba ya CRDB inavochukuliwa ni tofauti kidogo na Bank nyingine kwao Riba inaenda ikipungia
Mkuu kwa elimu fupi tu nini maana ya ku top up mkopo?? Na je unaweza kwenda benk kam una mkopo ukataka waongeze pesa wanayo kata ili kupunguza mda wa kuisha kama 1/3 inakubali inaweza kufanyika???Acha kupotosha mkuu..
Riba ya CRDB kwa personal loans zote ni 18%(ikihusisha na 1% ya bima ndani yake) wala sio 24% kama unavodai.
Ila mkopo wowote wa Crdb kama ilivyo kwa benki nyingine lzm kuwepo na ada.
●Kwa CRDB iko ni 1.1% ya mkopo ni Loan application fee na minimum ni 110,000
●0.55% ya mkopo ni Loan processing fee na minimum ni 55,000
Kwa mfano mikopo yote inayoanzia 5,000,000 na kushuka had 1,500,000 ada yake ni 165,000 tu(minimum threshold) ambayo ni one-time fee.
●Na kuanzia mwezi Disemba mwaka CRDB inakopesha hadi miaka 6.
Huu ndo ukweli na huhitaji kujua mimi ni nani CRDB ili uniamini
Sifa za mkopo zikoje?Karibuni EDNEY CREDIT mpate mikopo ya dharura marejesho hayazidi miezi 6 kwa riba nafuu. 100,000 hadi 1,000,000
Tupo Dar na Arusha uwe mfanyakazi wa umma au sekta binafsiSifa za mkopo zikoje?
Na mnapatikana wapi?
Exactly yamenikuta Tunduma-BranchNMB wasumbufu Sana. Maloan officer wanaringa, wasumbufu na wanapenda kuachiwa hela kidogo. Watabakia na wafanyakaz wachache Sana kwasababu hawataki kubadilika kuendana na ushindani wa kibiashara. Mtu unakopa ila unanyanyaswa unadhan unaomba msaada.
PASS 2% inaenda Kufanya nini huko?Tofauti ya riba ipo mkuu.,Hizi benk mbili Mikopo ya watumishi NMB ni 20% na CRDB ni,24% na mara nying CRDB watakuambia ni 20%..,kuna 4% huwa hawaionyeshi ila iko ktk makato ambapo 2% inakatwa kwenda PASS.,1.5 inakatwa kama gharama za mkopo.,na 0.5% hukatwa kama gharama za benk