CHARLES KIHOMBO
Member
- Feb 28, 2014
- 76
- 19
Upo taasisi gani mkuu?nilienda kuuliza bank mbili juzi. nikaanza na crdb wakaniambia kwa salari yangu maximum watanipa 11,300,000 kwa miaka 6 na watanikata 257,000. nikaenda nmb wakaniambia maximum watanipa 9,500,000 na watanikata 251,000. Kimsingi hakuna tofauti za riba