Uncle Araali
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 950
- 1,262
Siku hizi wajinga wanaongezeka kwa kasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa! Ina maana bora ukope nmb kuliko world bank?Nilikuwa nakazia kutokana na swali uliloulizwa na Mdau, hata hivyo katika Uzi wako unadai hali ngumu ya sasa imesababishwa na Mikopo iliyofanywa na Serikali ya awamu ya tano kwenye Taasisi za Fedha za ndani ya Nchi bila kuleta ushahidi hapa.
Hali ngumu ni pamoja na tatizo la Umeme lililopo, ndiyo maana umeulizwa kuwa hata hili tatizo sababu ni hiyo? Lakini pia unatakiwa kujua kuwa hata ukichukua Mikopo kwa hao Wazungu bado utatakiwa kulipa.
Kama unafuu wa Maisha unatokana na kunyenyekea na kupiga magoti kwa Wazungu basi usingelalamika hapa kuwa kuna hali ngumu ilihali Serikali iliyopo imechukua Mikopo huko kwa hao unawaona bora.
Kipi bora kukopa kwenye Taasisi za nje na kuwabana Wanamchi wa hali ya chini kulipa Kodi ikiwemo Tozo kwenye Miamala na Kodi ya Jengo kupitia LUKU au kukopa kwenye Taasisi za ndani bila kuwabana Wanamchi wa hali ya chini?
Unajua masharti ambayo Nchi masikini hupewa huko Word Bank? Kama kuna uwezekano wa kukopa NMB kwa nini isiwe hivyo?We jamaa! Ina maana bora ukope nmb kuliko world bank?
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Kama ni K we ni ile isiyo chimba kishimo ukikojoa kwenye mchangaKwenye hii dunia ili ushindane na mzungu inahitaji uwe na akili kubwa sana ya kufikiria mbali ukishindana na mzungu kwa hisia ni swala la mda tu utaumia sana RAIS magufuli alitumia hisia kushindana na wazungu
Wakati magufuli kaamua kuchukua mikopo bank binafsi watu tulilaani sana ila wako waliotubeza leo hii ndo madhara yanaanza kuonekana serekali inatumia makusanyo mengi ya kodi kulipa mikopo aliyochukua magufuli kwenye bank za biashara
Gharama za miradi aliyokua anaisema Rais magufuli ni ya uongo alidanganya maksudi ili apate political popularity gharama ya hii miradi ni mikubwa zaidi ya tulivyokua tunaambiwa
Muda wa kumalizika hii miradi ilikua ni uongo, tulidanganywa kwamba itawahi kuhisha lakin kiuhalisia itachukua mda mwingi na hata wakimaliza kuimaliza kuna uwezekano mkubwa wakalipua pua unakumbuka magufuli alishapingaga visibility study kwa sababu tu alihisi inampotezea mda
Japokua hali ni ngumu sana bank kama nmb imepata faida kubwa sana hii inamaan hakuna trickle down economy
Hii inamaana ela/fedha zinabaki kwa matajiri tu ila hazifiki kwa mtu wa katikati au chini ndo maan ukienda karikaoo magorofa yanapanda kama uyoga
Hakuna mtu in short run angeweza kushafisha haya madudu ambayo aliyafanya magufuli
Watu wanamlaumu samia na kumkumbuka magufuli ila ukweli ni kwamba angekua magufuli hali hii ingekua ngumu zaidi sababu angetumia ubabe na nguvu kuikabili kuliko akili
Weka namba ya simu, kwa Waziri wa Kilimo kuna kaziWatu wanamlaumu samia na kumkumbuka magufuli ila ukweli ni kwamba angekua magufuli hali hii ingekua ngumu zaidi sababu angetumia ubabe na nguvu kuikabili kuliko akili
Mpumbavu mamako we kengeTurudishieni umeme Dodoma kwanzaa ndio mje na hadithi zenu za kufikirika, WAPUMBAVU NINYI.
Mungu alishaamua ugomvi tumshukuru. Tungekuwa tunaishi km jehanamu. Ni vilaza waliopumbazwa ndio wanaweza kumsifu huyo marehemu wao. Yule alikuwa zaidi ya shetwani, hii nchi isingekalika. Ktk Rais ambaye jeshi lingefikiria kumpindua alikuwa MagufuliKwenye hii dunia ili ushindane na mzungu inahitaji uwe na akili kubwa sana ya kufikiria mbali ukishindana na mzungu kwa hisia ni swala la mda tu utaumia sana RAIS magufuli alitumia hisia kushindana na wazungu
Wakati magufuli kaamua kuchukua mikopo bank binafsi watu tulilaani sana ila wako waliotubeza leo hii ndo madhara yanaanza kuonekana serekali inatumia makusanyo mengi ya kodi kulipa mikopo aliyochukua magufuli kwenye bank za biashara
Gharama za miradi aliyokua anaisema Rais magufuli ni ya uongo alidanganya maksudi ili apate political popularity gharama ya hii miradi ni mikubwa zaidi ya tulivyokua tunaambiwa
Muda wa kumalizika hii miradi ilikua ni uongo, tulidanganywa kwamba itawahi kuhisha lakin kiuhalisia itachukua mda mwingi na hata wakimaliza kuimaliza kuna uwezekano mkubwa wakalipua pua unakumbuka magufuli alishapingaga visibility study kwa sababu tu alihisi inampotezea mda
Japokua hali ni ngumu sana bank kama nmb imepata faida kubwa sana hii inamaan hakuna trickle down economy
Hii inamaana ela/fedha zinabaki kwa matajiri tu ila hazifiki kwa mtu wa katikati au chini ndo maan ukienda karikaoo magorofa yanapanda kama uyoga
Hakuna mtu in short run angeweza kushafisha haya madudu ambayo aliyafanya magufuli
Watu wanamlaumu samia na kumkumbuka magufuli ila ukweli ni kwamba angekua magufuli hali hii ingekua ngumu zaidi sababu angetumia ubabe na nguvu kuikabili kuliko akili
Unao ushahidi au una bwabwaja tu?😀Magufuli huyu ambaye alikua anaficha fedha canada na china
Haiwezekani mkuu. Labda ukisema alokuwa akikaa meza nao,walikuwa kwanza wanaweka mambo sawa. Raisi hawezi kulala,usiku achukue maamuzi yake,kesho yake atangaze. Uongozi wa nchi,ni tofauti sana na kampuni ndogo ya Sinza. Kwani akifanya aliloamua bila kuwashilikisha wahusika,pesa au support atatowa wapi?Magufuli alaikua hashauriwi mbona ilikua wazi
Watu sisi hatuna shukrani mimi pia nilitaka kusema hili aliyekopa alijua atalipaje ni bahati mbaya MUNGU kamchukua lakini matunda ya kazi zimeonekana na Nafuu kwa wananchi imepatikana ni vile hatuna jema🙌Ila binadamu viumbe wa ajabu. Mnaridhishwa na nini? Leo hii kilio cha foleni zisizoisha,kimeisha. Sasa madaraja ndo yamekuwa shida. Kwa hiyo,aliyekopa hakujua atalipaje?
Au aliyekaimu ndo hajui mbinu za kulipa! Maana tujuavyo,kiongozi wankweli hawezi kulalamika kwamba nilikuta deni lilishachukuliwa!
Siku zote kila gari na dereva wake,na abilia tu ndo huweza kutambua uendeshaji wa dereva. Aliyeachwa,labda kachelewa,gari imejaa,au sababu nyingine,lazima atalalamika. Na kamwe hutapata binadamu anaependwa asilimia zote,au anaechukiwa asilimia zote.Watu sisi hatuna shukrani mimi pia nilitaka kusema hili aliyekopa alijua atalipaje ni bahati mbaya MUNGU kamchukua lakini matunda ya kazi zimeonekana na Nafuu kwa wananchi imepatikana ni vile hatuna jema🙌
Ni kweli maana majizi yote yamerudi, mgao wa umeme umerudi,madawa ya kulevya na mateja yamerudi,mfumuko wa bei za vyakula, mafuta n.k, kifupi takataka zote zimerudi nahisi hata wenye vyeti feki wanaweza kuwa wamerudi kazini wengine, kwanini asiwe dhalimu kwa watu kama hawa waliokuwa wamezoea kuisha kwa dhulma?!Sijasema sifi,ila kifo changu hakitaleta nafuu kwa wengi kama taifa lilivyopata nafuu kwa kifo cha yule dhalim.
Maza Ako yy anakopa wapi pesa?Kwenye hii dunia ili ushindane na mzungu inahitaji uwe na akili kubwa sana ya kufikiria mbali ukishindana na mzungu kwa hisia ni swala la mda tu utaumia sana RAIS magufuli alitumia hisia kushindana na wazungu
Wakati magufuli kaamua kuchukua mikopo bank binafsi watu tulilaani sana ila wako waliotubeza leo hii ndo madhara yanaanza kuonekana serekali inatumia makusanyo mengi ya kodi kulipa mikopo aliyochukua magufuli kwenye bank za biashara
Gharama za miradi aliyokua anaisema Rais magufuli ni ya uongo alidanganya maksudi ili apate political popularity gharama ya hii miradi ni mikubwa zaidi ya tulivyokua tunaambiwa
Muda wa kumalizika hii miradi ilikua ni uongo, tulidanganywa kwamba itawahi kuhisha lakin kiuhalisia itachukua mda mwingi na hata wakimaliza kuimaliza kuna uwezekano mkubwa wakalipua pua unakumbuka magufuli alishapingaga visibility study kwa sababu tu alihisi inampotezea mda
Japokua hali ni ngumu sana bank kama nmb imepata faida kubwa sana hii inamaan hakuna trickle down economy
Hii inamaana ela/fedha zinabaki kwa matajiri tu ila hazifiki kwa mtu wa katikati au chini ndo maan ukienda karikaoo magorofa yanapanda kama uyoga
Hakuna mtu in short run angeweza kushafisha haya madudu ambayo aliyafanya magufuli
Watu wanamlaumu samia na kumkumbuka magufuli ila ukweli ni kwamba angekua magufuli hali hii ingekua ngumu zaidi sababu angetumia ubabe na nguvu kuikabili kuliko akili
Magufuli alikua anaongoza nchi bila kufuata ushauri wa yeyote in short alikua diktetaHaiwezekani mkuu. Labda ukisema alokuwa akikaa meza nao,walikuwa kwanza wanaweka mambo sawa. Raisi hawezi kulala,usiku achukue maamuzi yake,kesho yake atangaze. Uongozi wa nchi,ni tofauti sana na kampuni ndogo ya Sinza. Kwani akifanya aliloamua bila kuwashilikisha wahusika,pesa au support atatowa wapi?
Labda walio karibu nae,wanajua. Uwezo huo hana. Ila kwa sababu anaheshimika,anaelekezwa.
Hilo silielewi,ila,niulize. Serikali haina washauri? Hasa raisi mwenyewe. Kama hawapo,ni tatizo. Kama wapo na uwezo huo hawana,basi hili nalo zito. Hiyo si sawa na wakili kupindisha sheria?Magufuli alikua anaongoza nchi bila kufuata ushauri wa yeyote in short alikua dikteta
Sawa shogaMpumbavu mamako we kenge