okonkwo jr
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 2,419
- 1,738
- Thread starter
-
- #21
Daa ndugu hta kazin hujakanyaga unawaza mkopo?!!!
pesa unachukua kaka tayari usha qualify kwa huo muda.
Mkuu bila barua ya uthibitisho kazini? NMB WATAKUBALI?
Hao jamaa ni ------- wa kutupwa sitaki hata kuwasikia
Bayport now days wapo poa sana....tembelea branch lao....ucogopeee
Natumai hamjambo waungwana,mimi ni mwajiriwa serikalini,sijathibitishwa kazini bado,hoja yangu ni kutaka kuchukua mkopo kupitia bayport kiasi cha sh miliion tano na nusu,na nataka kuurejesha ndani ya miaka mitatu,take home yangu ni sh laki tano.je itanigharimu kiasi gani mpaka kuukamilisha kwa muda huo wa miaka mitatu? Naomba msaada na changamoto za hawa jamaa wa bayport,lengo la mkopo ni kununua nyumba.
Ukikopo 5.5ml utalipa 11ml. Kwa ujumla hawafai hawa, kimbia
Mkuu bila barua ya uthibitisho kazini? NMB WATAKUBALI?