Mikopo ya BAYPORT

Mikopo ya BAYPORT

Bayport now days wapo poa sana....tembelea branch lao....ucogopeee
 
Kwanini hii serikali haingili riba za juu za mabenki nchini kama walivyofanya kwa shule.hizi bank ni wezi hawa.unakopa mil 12 unalipa mil 30.sasa rais ameshapatikana baada ya miaka 30 nchi ilikuwa haina rais mtetezi kwa wanyonge
 
Kama wewe ni mwalimu sikushauri kabisa,kwani huna posha wala perdiem hawa jamaa wauji
 
C.W.T INAENDESHA KESI DHIDI YA BAYPORT KWA KUWABAMBIKIA RIBA KUBWA TOFAUTI NA MAKUBALIANO, SASA BADO KINA WATU WANAWAZA TENA BAYPORT!!!
YATAKAYO KUKUTA RUDI HAPA UTUJULISHE okonwo jr@
 
Last edited by a moderator:
C.W.T INAENDESHA KESI DHIDI YA BAYPORT KWA KUWABAMBIKIA RIBA KUBWA TOFAUTI NA MAKUBALIANO, SASA BADO KINA WATU WANAWAZA TENA BAYPORT!!!
YATAKAYO KUKUTA RUDI HAPA UTUJULISHE okonkwo jr@
 
Last edited by a moderator:
Sasa zamu ya mabenki nao washitukizwe kuhusu riba zao,hizi benk ni wezi kwenye riba,Maghufuri chunguza kama ulivyochunguza shule binafsi
 
ni heri uvumilie shida zitapita ila kwa batport nakushauri toka ndani ya moyo wangu tena nakuomba sana kijana mwenzangu usithubutu hata kufika ofcn kwao hakuna taasisi mbaya kama bayport hap nilipo nimemaliza den kitambo lakn bado nakatwa tu,angalau ujaribu kwa taasisi nyingne sio bayport
 
acha! subiri muda ufike uende benk nakushauri. wengi wamelia huko. ukikaidi utatupa mrejesho baada ya makato ya kwanza. kila lakheri
 
Usikope bayport itakugharimu, hutaona faida ya kazi yako na huenda ukatamani kuacha kazi kwa deni watakalokubambikia!
 
benki zinazingua sana siku hizi mpaka watu wanaangukia kwa matapeli, zile benki za vijijini nmb, crdb, posta ukifanya mchezo unakaa miezi 2 unangoja mkopo, byport wiki haiishi ndio maana wanawapataga
 
Natumai hamjambo waungwana,mimi ni mwajiriwa serikalini,sijathibitishwa kazini bado,hoja yangu ni kutaka kuchukua mkopo kupitia bayport kiasi cha sh miliion tano na nusu,na nataka kuurejesha ndani ya miaka mitatu,take home yangu ni sh laki tano.je itanigharimu kiasi gani mpaka kuukamilisha kwa muda huo wa miaka mitatu? Naomba msaada na changamoto za hawa jamaa wa bayport,lengo la mkopo ni kununua nyumba.

Utakatwa mpaka uone dunia yote inakuchukia
 
Back
Top Bottom