Mikopo ya BAYPORT

Hao jamaa riba ni 3% kwa mwezi, kwa Mwaka ni 36% hivyo miaka mitatu ni 108% hivyo tafuta asilia 108% ya million 5 then jumlisha na hiyo 5 m utapata kiasi utakacho lipa. Then jibu lako gawa kwa 36 upate kiasi utakacho takiwa kulipa kwa mwezi.


Ushauri achana kabisa na Bayport nenda posta
 
hivi kwa mfano ukakopa hiyo m 5 halafu ukafanikiwa kuwekeza kitu ambacho baada ya hiyo miaka mitatu kitakupa faida ya zaidi ya Hayo m 15 watakayokata,hasara iko wapi?
Ishu ni kuchukua mkopo kwa malengo na siyo kukurupuka


Ukinunua uniti za Cashback Marketing kwa ajili ya kupata cashback ya kila siku unaweza kutengeneza mpaka TZS 1,300,000 kila mwezi hivyo utaweza kuulipa mkopo ndani ya mwaka mmoja kutokana na mapato utakayoyapata kutoka kwenye cashback marketing na baada ya kumaliza mkopo utakuwa unatia ndani hizo TZS 1,300,000 kila mwezi.

Kwa habari zaidi kuhusu mradi huu kwa kiswahili fungua blogu hii na kwa kiingereza fungua blogu hii.
 


Ukichukua mkopo wao kisha ukanunua uniti za Cashback Marketing basi zitakupa daily cashback rate ya 1% inayotumika kwa sasa hivyo kwa mwezi utakuwa umepata cashback ya 30%. Tayari hii cashback rate ni mara 10 ya riba unayotakiwa kulipa kwa mwezi hivyo utaweza kuulipa mkopo wao bila matatizo yoyote na bado ukabakia na hela za kutosha kufanya mambo yako mengine na mkopo ukishaisha basi cashback zote utakazokuwa unapata utafanyia mambo yako mengine.

Kwa habari zaidi kuhusu mradi huu wa cashback kwa kiswahili fungua blogu hii na kwa kiingereza fungua blogu hii
 
Bora uuze kitanda chako, TV, radio nk ili upate pesa ya mtaji, kuliko kwenda kukopa huko Bayport.
 
Wabongo mnapenda sana kurahisisha maisha. Na mwisho wa siku mnaishia kutapeliwa.
 
hivi bayport wanakopesha waajiriwa wa serikali tu?
 
kimbia ,kimbia, kimbia, kimbiaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa uTAJUTA TAFUTA SEHEMU NYINGINE UKOPE WE KIJANA hapa hakuna fitina wala nn ila utalia .
 
Bayport.. mmmhhhhhh

unataka upate stress wewe

hao ni wanyonyaji.kimbiaaaaaaaaas
 
Kama wa kuelewa kaelewa ila kama ni kina J........................hilo ni juu yake
 
Mikopo nenda NMB, POSTA NANI NA CRDB ndani ya week ushachukua Mpunga wako .... Hiyo Bay port usije ukawa speciemen
 
Acha kabisa mimi pia nilitaka kujichanganya nikashituka
 
bayport ni sumu hatari sana kaambali usiisogelee itakuangamiza wew na kizazi chako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…