Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,526
Pesa za kukopa hazina faida u'll suffer
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa za kukopa hazina faida u'll suffer
hivi kwa mfano ukakopa hiyo m 5 halafu ukafanikiwa kuwekeza kitu ambacho baada ya hiyo miaka mitatu kitakupa faida ya zaidi ya Hayo m 15 watakayokata,hasara iko wapi?
Ishu ni kuchukua mkopo kwa malengo na siyo kukurupuka
Hao jamaa riba ni 3% kwa mwezi, kwa Mwaka ni 36% hivyo miaka mitatu ni 108% hivyo tafuta asilia 108% ya million 5 then jumlisha na hiyo 5 m utapata kiasi utakacho lipa. Then jibu lako gawa kwa 36 upate kiasi utakacho takiwa kulipa kwa mwezi.
Ushauri achana kabisa na Bayport nenda posta
Wabongo mnapenda sana kurahisisha maisha. Na mwisho wa siku mnaishia kutapeliwa.Ukichukua mkopo wao kisha ukanunua uniti za Cashback Marketing basi zitakupa daily cashback rate ya 1% inayotumika kwa sasa hivyo kwa mwezi utakuwa umepata cashback ya 30%. Tayari hii cashback rate ni mara 10 ya riba unayotakiwa kulipa kwa mwezi hivyo utaweza kuulipa mkopo wao bila matatizo yoyote na bado ukabakia na hela za kutosha kufanya mambo yako mengine na mkopo ukishaisha basi cashback zote utakazokuwa unapata utafanyia mambo yako mengine.
Kwa habari zaidi kuhusu mradi huu wa cashback kwa kiswahili fungua blogu hii na kwa kiingereza fungua blogu hii
Wabongo mnapenda sana kurahisisha maisha. Na mwisho wa siku mnaishia kutapeliwa.
Respect urself u idiot!Kama wote tungekuwa na akili za kujumlisha kama hizi nazani huenda rais Wa nchi angepita White hairs
Thanks,nisha achana nao.bayport ni sumu hatari sana kaambali usiisogelee itakuangamiza wew na kizazi chako