"BENKI" gani hiyo ulikopa 20M ukarudisha 36M?!!! Maaana we ticha isijekuwa umekopa Bayport!Unapewa milioni 20 , unalipa riba ya 81% kwa miaka 6. Je huu sio wizi uliokubuhu?
Wachumi tuelimishe is it worthy ta
Lakini si kabla ya kukopa mnaelimishana namna ya kulipa pamoja na riba husika? kama ni kweli sasa hapo sisi ambao hatukukopesha wala kukushawishi ukope tukusaidieje mkuu pamoja na uzi wako huu.Unapewa milioni 20 , unalipa riba ya 81% kwa miaka 6. Je huu sio wizi uliokubuhu?
Wachumi tuelimishe is it worthy ta
Ya kwamba mwenye nacho asimuexploit asiyenacho kwa sababu ya "shida" yake, enzi hizo watu walikuwa wanakopa kwa ajili ya shida tu kama chakula nk. Sku hizi pesa nayo ni bidhaa, inauzwa na kununuliwa, benki biashara yao ni pesa, wanapokuuzia wanataka faida, wanapokukopesha wanataka faida.Riba iliharamishwa kwenyr uislamu kwa sababu za msingi.
Miaka inavyokuwa mingi na riba inaongezeka kwann usiulipe kwa miaka miwil tu au mitatuUnapewa milioni 20 , unalipa riba ya 81% kwa miaka 6. Je huu sio wizi uliokubuhu?
Wachumi tuelimishe is it worthy ta
No, I am very smart. I just made an inquiry from a certain bank and was give that breakdown. I went into the loan calculator and confirmed that. By the way, I am not a teacher!"BENKI" gani hiyo ulikopa 20M ukarudisha 36M?!!! Maaana we ticha isijekuwa umekopa Bayport!
miaka inavyokuwa mingi na riba inaongezeka kwann usiulipe kwa miaka miwil tu au mitatu
Sijapenda lugha yako, huwa nakuona mtu wa heshima hapa JF. Nakuweka kiporo! Sijapenda!Kama hutaki kuibiwa, acha kukopa.
Njaa zako ndio zimekufanya ukakope. Hukushikiwa bunduki.
Hiyo riba ni fair kabisa kwa kipindi hicho cha miaka 6.... hapo kwa mwaka mmoja inamaanisha ni 81/6 ambayo 13.5% (Hapo nime assume haijatozwa compound interest)
Hiyo riba hapo kuna mfumuko wa bei (Fedha kupoteza thamani) ambayo ni wastani wa 5% kwa mwaka, risk premium (Hii inafidia zile case ambazo mkopo haulipwi na benki ikapata hasara) kisha na gharama ya benki kwa ajili ya kulipia gharama za ku oparate
Duh!hiyo itakuw DCB or the likes! trust me
Kama mkopo haulipwi benki wamekata bima
Pole kama nimetumia lugha kali. Kifupi mimi mwenyewe niliwahi chukua mkopo nikachanganya na pesa zangu. Nikanunua gari ya biashara. Ile gari haikumaliza mwezi bara barani ikawa written off. Since then ni miaka minne sujawahi kukanyaga benki kuomba mkopo kwa vile nilipata usumbufu mwingi sana toka benki juu ya marejesho. Nimeshaapa. Mtu akiniona nakanyaga benki kuchukua mkopo, anichinje kwa msumeno.Sijapenda lugha yako, huwa nakuona mtu wa heshima hapa JF. Nakuweka kiporo! Sijapenda!