- Thread starter
- #41
Good, mkopo ninaotegemea kuuchukua , riba yake in 81% ya mkopo wote your first comment carries the meaning...Kiasi ulicholipa riba kwa miaka 6 ni 86% ya pesa ulizokopaKauli ya "unalipa riba ya 81%kwa miaka 6" ni kauli tata.
Unamaanisha nini? Kiasi ulicholipa riba kwa miaka 6 ni 86% ya pesa ulizokopa? Au umetozwa riba ya 86% kuanzia mwanzo wa mkopo?
Hayo ni mambo mawili tofauti.