Signature yako inachekesha kweli, wewe ni Humanist au Capitalist? As a Human, kama unayo pesa ya kumkopesha mwenzako, kwanini udai riba? Hutaki afanikiwe mwenzako? hutaki mwenzako aachane na shida? Kwani ukimwambia nakupa mkopo lakini tufanye wote hio biashara kwa miaka mitano, ukipata hasara nimepata hasara ukipata faida na mimi napata faida, kwanini lazima ukimpa hela ajiendeshe akipata hasara unashindwa kumuelewa? Hivi wewe unajiita humanist kisha unaona ni sawa kabisa mtu anakwenda kupokonywa nyumba yake aloiweka bondi kisha alale wapi?
Ubinaadamu kazi na wewe huiwezi!
Ngoja nkupe kisomo basi;
Bank inatengeza hela kupitia transactions unazofanya, wanakata hela fulani, pia kila mwisho wa mwezi wanakata hela.
Kwenye kukopesha, zipo benk zinakopesha bila riba, na zinapata faida. hizi benki zinafanya sharing na wewe kwenye biashara ulioiombea mkopo.
Dah Mkuu umenikosha sana eti unajiita HUMANIST LOL!!!