colin_morgan
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,443
- 2,912
Mmh , hapo napo pazito mkuuVipi anayenunua gunia la njegele kwa 50,000 akaenda kuliuza kwa 120,000 atapata salama mbele ya Mungu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh , hapo napo pazito mkuuVipi anayenunua gunia la njegele kwa 50,000 akaenda kuliuza kwa 120,000 atapata salama mbele ya Mungu?
Hamna Salama hapoMmh , hapo napo pazito mkuu
Kwani hukufanya calculation kabla hujachukua huo mkopo???Unapewa milioni 20 , unalipa riba ya 81% kwa miaka 6. Je huu sio wizi uliokubuhu?
Wachumi tuelimishe is it worthy ta
sijachukua mkopo anyway! Kuna loan calculator uki google, very clear! It gives each and everything clearly... inakwambia na riba kabisa. Benki hawakwambii wanajua utashutuka. Ndio nikaja nika google, eh! hatari!Kwani hukufanya calculation kabla hujachukua huo mkopo???
Inawezekana kwa muktadha huo, lkn kwa ....... . nashindwa kuendelea maana!Huo mkopo ungekuwa wa miaka 3 ungelioa riba ya chini zaidi, ungeweza kulipa kati ya milioni 28 na 32.
By the way, embu vaa viatu vya benki. Unampa mtu milioni zako 20 kwa miaka 6 ndio akurudishie mpaka Imalizike, je utamchaji riba chini ya hiyo milioni 16?
Cumulatively iyo iko sawa. Ili uwe salaama kimkopo, nakushauri ujiunge na saccos zenye nguvu. Kopa mkopo wa muda mfupi(Ndani ya miezi sita), riba yao ni nafuu sana. ni 1%.Unapewa milioni 20 , unalipa riba ya 81% kwa miaka 6. Je huu sio wizi uliokubuhu?
Wachumi tuelimishe is it worthy ta
Biashara gani? Tuanzie hapo kwanza. Kwani kila biashara ina profit benchmark yake?Naomba kujua. Kama ungepewa milioni ishirini uifanyie biashara kwa miaka 6 ungepata kiasi gani?
DCB wana riba 17% flat rate! ukichukua 10M kwa miaka mitano umarudisha 18.5M
wakati NMB wana riba ya 18% wao ni reducing unarudisha 15.4M
DCB kama bayport wezi hatareee! me nahamia PBZ mdebwedo maisha yanaenda! huku ukichukua 10 unarudisha 14 miaka 5
Cumulatively inafikia hapo.Benki gan hiyo mkuu?
Na mkuu, ilkuaje mpk ifkie riba 50% kutoka 18% ?
Hizo cumulative riba ni kwa muda gani?DCB wana riba 17% flat rate! ukichukua 10M kwa miaka mitano umarudisha 18.5M +++RIBA HAPO Cumulatively NI 85%
wakati NMB wana riba ya 18% wao ni reducing unarudisha 15.4M+++RIBA HAPO Cumulatively NI 54%
DCB kama bayport wezi hatareee! me nahamia PBZ mdebwedo maisha yanaenda! huku ukichukua 10 unarudisha 14 +++RIBA HAPO Cumulatively NI 40%
ngoja tusiitaje itajulikana maana wengi watakwenda huko na wataiweka waziWhich bank? Ili wadau wasing'atwe hahahah
mbona hii ndiyo balaa!Nendeni Bank Of Africa maarufu kama BOA wenyewe ni flat ratevya 11% kwa mwaka ukiweza kukopa kwa miaka 3 ni 33% ya mkopo wote
NO ni 18% january 2018, a close relative alichukua at 18% reducing rate!Hizo cumulative riba ni kwa muda gani?
Mbona mm NMB huwa nachukua kwa 25% kwa mwaka,nmetoka kuchkua tu pesa mnamo sept mwaka jana?
Jana nmempigia kumuuliza branch manager pale Mwenge anasema imeshuka ni 22% sahv.
Which is which?
Wengine mbona mnasema ni 18%, huku wanasema ni 22%
Exactly, tatizo saccos nazo zinasua sua sana huku mitaani na kwenye taasisi.Cumulatively iyo iko sawa. Ili uwe salaama kimkopo, nakushauri ujiunge na saccos zenye nguvu. Kopa mkopo wa muda mfupi(Ndani ya miezi sita), riba yao ni nafuu sana. ni 1%.
Sasa kuna mtu alikuwa anabisha eti siyo sawa, nikamuacha!Cumulatively iyo iko sawa. Ili uwe salaama kimkopo, nakushauri ujiunge na saccos zenye nguvu. Kopa mkopo wa muda mfupi(Ndani ya miezi sita), riba yao ni nafuu sana. ni 1%.
Honestly,NO ni 18% january 2018, a close relative alichukua at 18% reducing rate!
Hizo ni riba za mikopo ya aina gani?Juzi nimeenda benk moja kutaka milion 30, kwa miaka 5, nikaambiwa nitalipa jumla na deni milion 54, nikarudi nyumbani kunywa chai.
Crdb riba ni 20%, nmb riba ni 18% barclays 22%, bank abc 26% nk nk.
Hizi benk ni mufilisi. Riba kubwa sana.
Ila nadhani kama Magu ataendelea hivi watashusha maana walizoea kufanya biashara na serikali hasa kwenye hati fungani, serikali ilikua inalipa 15-16%, sasa inalipa 6%. Hawana namna watarudi kwa wananchi wa kawaida.