Wajanja sana huwa na hidden cost nyingi zisizoonekana,nimekopa mara Tatu nimeambulia hasara badala ya faida.Lakini si kabla ya kukopa mnaelimishana namna ya kulipa pamoja na riba husika? kama ni kweli sasa hapo sisi ambao hatukukopesha wala kukushawishi ukope tukusaidieje mkuu pamoja na uzi wako huu.
Dawa acha kukopa kopa bali pambana na hali yako kivyako vyako tuuuuu