Mikopo ya benki ni wizi uliokomaa, nimetozwa riba ya 81% kwa miaka 6

Mikopo ya benki ni wizi uliokomaa, nimetozwa riba ya 81% kwa miaka 6

Kwani hukufanya calculation kabla hujachukua huo mkopo???
sijachukua mkopo anyway! Kuna loan calculator uki google, very clear! It gives each and everything clearly... inakwambia na riba kabisa. Benki hawakwambii wanajua utashutuka. Ndio nikaja nika google, eh! hatari!
 
Huo mkopo ungekuwa wa miaka 3 ungelioa riba ya chini zaidi, ungeweza kulipa kati ya milioni 28 na 32.

By the way, embu vaa viatu vya benki. Unampa mtu milioni zako 20 kwa miaka 6 ndio akurudishie mpaka Imalizike, je utamchaji riba chini ya hiyo milioni 16?
Inawezekana kwa muktadha huo, lkn kwa ....... . nashindwa kuendelea maana!
 
Kukopa kupo tu, wakati unapokopa ndo akili inafanya kazi vizuri maana unajikuta mkopo umeshaulamba wote, harafu mambo yamebana...huwezi kurudi tena kukopa maana hukidhi vigezo. Hapo lazima ujiongeze zaidi na zaidi ndo akili inavyoanza kufikiria namna ya kufanya compensation ya upuuzi wa kukopa which at the end, unajikuta unafurahi kwa kukopa!!
Kwa hiyo wadau, kopeni na kabla ya kukopa weka chini mbinu mbali mbali utakazozitumia kuishi/kurudisha mkopo iwapo mambo yataenda sivyo.
 
Mimi nilikimbia huo mkopo CRDB Mil 20 kurudisha Mil 35 ndani ya miaka 5. Nikaona nitakua nawafanyia kazi wao tu. Wengi wameumia sana na mikopo hii!
 
Unapewa milioni 20 , unalipa riba ya 81% kwa miaka 6. Je huu sio wizi uliokubuhu?
Wachumi tuelimishe is it worthy ta
Cumulatively iyo iko sawa. Ili uwe salaama kimkopo, nakushauri ujiunge na saccos zenye nguvu. Kopa mkopo wa muda mfupi(Ndani ya miezi sita), riba yao ni nafuu sana. ni 1%.
 
Pole saaaaana mkuu. Benki zote duniani hukopesha kwa lengo mahsusi la kujiongezea faida
 
Naomba kujua. Kama ungepewa milioni ishirini uifanyie biashara kwa miaka 6 ungepata kiasi gani?
Biashara gani? Tuanzie hapo kwanza. Kwani kila biashara ina profit benchmark yake?
 
DCB wana riba 17% flat rate! ukichukua 10M kwa miaka mitano umarudisha 18.5M

wakati NMB wana riba ya 18% wao ni reducing unarudisha 15.4M

DCB kama bayport wezi hatareee! me nahamia PBZ mdebwedo maisha yanaenda! huku ukichukua 10 unarudisha 14 miaka 5

DCB wana riba 17% flat rate! ukichukua 10M kwa miaka mitano umarudisha 18.5M +++RIBA HAPO Cumulatively NI 85%

wakati NMB wana riba ya 18% wao ni reducing unarudisha 15.4M+++RIBA HAPO Cumulatively NI 54%

DCB kama bayport wezi hatareee! me nahamia PBZ mdebwedo maisha yanaenda! huku ukichukua 10 unarudisha 14 +++RIBA HAPO Cumulatively NI 40%
 
Hizo cumulative riba ni kwa muda gani?

Mbona mm NMB huwa nachukua kwa 25% kwa mwaka,nmetoka kuchkua tu pesa mnamo sept mwaka jana?

Jana nmempigia kumuuliza branch manager pale Mwenge anasema imeshuka ni 22% sahv.

Which is which?
Wengine mbona mnasema ni 18%, huku wanasema ni 22%
 
NO ni 18% january 2018, a close relative alichukua at 18% reducing rate!
 
Cumulatively iyo iko sawa. Ili uwe salaama kimkopo, nakushauri ujiunge na saccos zenye nguvu. Kopa mkopo wa muda mfupi(Ndani ya miezi sita), riba yao ni nafuu sana. ni 1%.
Exactly, tatizo saccos nazo zinasua sua sana huku mitaani na kwenye taasisi.
 
Cumulatively iyo iko sawa. Ili uwe salaama kimkopo, nakushauri ujiunge na saccos zenye nguvu. Kopa mkopo wa muda mfupi(Ndani ya miezi sita), riba yao ni nafuu sana. ni 1%.
Sasa kuna mtu alikuwa anabisha eti siyo sawa, nikamuacha!
 
NO ni 18% january 2018, a close relative alichukua at 18% reducing rate!
Honestly,
Sjawahi sikia mkopo wa biashara ukifika 18%.

Au kabda utakua mkopo wa nyumba huo kule NHC
 
Juzi nimeenda benk moja kutaka milion 30, kwa miaka 5, nikaambiwa nitalipa jumla na deni milion 54, nikarudi nyumbani kunywa chai.

Crdb riba ni 20%, nmb riba ni 18% barclays 22%, bank abc 26% nk nk.

Hizi benk ni mufilisi. Riba kubwa sana.

Ila nadhani kama Magu ataendelea hivi watashusha maana walizoea kufanya biashara na serikali hasa kwenye hati fungani, serikali ilikua inalipa 15-16%, sasa inalipa 6%. Hawana namna watarudi kwa wananchi wa kawaida.
Hizo ni riba za mikopo ya aina gani?
 
Back
Top Bottom