Mikopo ya benki ni wizi uliokomaa, nimetozwa riba ya 81% kwa miaka 6

Mikopo ya benki ni wizi uliokomaa, nimetozwa riba ya 81% kwa miaka 6

Honestly,
Sjawahi sikia mkopo wa biashara ukifika 18%.

Au kabda utakua mkopo wa nyumba huo kule NHC
Usibishe, ngoja tuongozane, tuelimishane. Salaried loan si inaweza kuwa pia ya biashara, maana unajaza biashara pale, labda kama ni danganya toto!
 
Unapewa milioni 20 , unalipa riba ya 81% kwa miaka 6. Je huu sio wizi uliokubuhu?
Wachumi tuelimishe is it worthy ta
Mkuu mkopo uliokopa na riba was very fair....
Maana kwa haraka haraka riba ilikua ni 18% perannal...
ukiipigia for 6 years ulitaka urudishe kiasi gani na umekaa na ela za watu?

Interest inacover vitu kama
- Time value of money
- Inflation rate
- Risk on loan premium
etc etc....

Ulikopea bank gan maana mimi natozwa 24% kwa iyo riba ningebeba ela hadi wanifukuzee...
 
Hizo cumulative riba ni kwa muda gani?

Mbona mm NMB huwa nachukua kwa 25% kwa mwaka,nmetoka kuchkua tu pesa mnamo sept mwaka jana?

Jana nmempigia kumuuliza branch manager pale Mwenge anasema imeshuka ni 22% sahv.

Which is which?
Wengine mbona mnasema ni 18%, huku wanasema ni 22%
Miaka 2,3,4 mpaka. hiyo riba ya 25% ni kwa mwaka, muda unavyoongezeka na fedha unayotoa nje ya principle amount huongezeka pia. Huwa ni zaidi ya hiyo 25%. Mpaka miaka 4 inaweza kuwa Marejesho(nje ya Principle amount) hufika kati ya 60-80%. Na ndio hiyo ambayo jamaa anaizungumzia.

Kibiashara, au kibusara, inashauriwa kuwa tuwe tunakopa 20% tu ya fedha za hitaji. Kwa maana hiyo 80% iwe ni fedha za nje ya mikopo. Hapo utwaweza-kusurvive, kwani kama ukishindwa kibiashara, basi hiyo 80% hulinda na kukomboa 20% uliyokopa.

Tatizo ni kuwa, siku hizi watu hukupa 100% ya mtaji. HILO NI KOSA KUBWA SANA kiujasiriamali.
 
Yah!
Ni Hatar zaidi kukopa 100% mtaji.

Unakuta MTU anachukua ela ya mkopo na kununulia Viti vya kukalia ofsini, meza ya kuuzia vifaa, Kodi ya pango, ela ya kusajili biashara n.k

Mwisho wa siku hiyo ela haizalishi, mzigo wa kuuza&kuzungusha ili ela irudi unakua kiduchu.

Matokeo yake, ndo kufilisika huko.

Wakati angetakiwa ile ela ya mkopo ikadeal na mzigo wa biashara tu.
 
Ya kwamba mwenye nacho asimuexploit asiyenacho kwa sababu ya "shida" yake, enzi hizo watu walikuwa wanakopa kwa ajili ya shida tu kama chakula nk. Sku hizi pesa nayo ni bidhaa, inauzwa na kununuliwa, benki biashara yao ni pesa, wanapokuuzia wanataka faida, wanapokukopesha wanataka faida. Mfanyabiashara anapokopa pesa naye anategemea akazungushe apate faida, sasa kwanini mwenye kukukopesha asitengeneze faida, pesa za kujiendesha na kukuza mtaji wa kuwakopesha wengine utamchangia wewe?!
Signature yako inachekesha kweli, wewe ni Humanist au Capitalist? As a Human, kama unayo pesa ya kumkopesha mwenzako, kwanini udai riba? Hutaki afanikiwe mwenzako? hutaki mwenzako aachane na shida? Kwani ukimwambia nakupa mkopo lakini tufanye wote hio biashara kwa miaka mitano, ukipata hasara nimepata hasara ukipata faida na mimi napata faida, kwanini lazima ukimpa hela ajiendeshe akipata hasara unashindwa kumuelewa? Hivi wewe unajiita humanist kisha unaona ni sawa kabisa mtu anakwenda kupokonywa nyumba yake aloiweka bondi kisha alale wapi?

Ubinaadamu kazi na wewe huiwezi!

Ngoja nkupe kisomo basi;

Bank inatengeza hela kupitia transactions unazofanya, wanakata hela fulani, pia kila mwisho wa mwezi wanakata hela.

Kwenye kukopesha, zipo benk zinakopesha bila riba, na zinapata faida. hizi benki zinafanya sharing na wewe kwenye biashara ulioiombea mkopo.

Dah Mkuu umenikosha sana eti unajiita HUMANIST LOL!!!
 
Mkuu mkopo uliokopa na riba was very fair....
Maana kwa haraka haraka riba ilikua ni 18% perannal...
ukiipigia for 6 years ulitaka urudishe kiasi gani na umekaa na ela za watu?

Interest inacover vitu kama
- Time value of money
- Inflation rate
- Risk on loan premium
etc etc....

Ulikopea bank gan maana mimi natozwa 24% kwa iyo riba ningebeba ela hadi wanifukuzee...
Messenger, nakubaliana na wewe lkn, riba hiyo ni kubwa sana. Bado nafikiri nikope au niache ndio maana nikaleta uzi huu nipate mawazo. Bank ngoja niiache.
 
Messenger, nakubaliana na wewe lkn, riba hiyo ni kubwa sana. Bado nafikiri nikope au niache ndio maana nikaleta uzi huu nipate mawazo. Bank ngoja niiache.
Mkuu labda unadhani riba ipi ndo fair na kwa mda gani?
Maana uangalie na usawa na hawa watu wa financial institution wanarun ela za watu kwa mkopo...
 
Angalia kiasi ninachopashwa kulipa kila mwezi toka kwenye mshahara wangu. je mshahara unafika huko? Kama unafika kitabaki kiasi gani kulinda maisha ya kila siku

Loan amount: Num payments: Annual Rate: Monthly Rate: Monthly Payment:: Total Paid
20000000 36 .2200 .01833 763809.06 27497126.29

Total Interest:7497126.29

Loan amount: Num payments: Annual Rate: Monthly Rate: Monthly Payment: Total Paid:

20000000 24 .2200 .01833 1037563.0 24901514.2

Total Interest:

4901514.2
hii mikopo ipo kwa ajili ya wafanyabiashara,pls wafanyakazi subiri mafao kwenye mikopo ni pressure tu
 
hii mikopo ipo kwa ajili ya wafanyabiashara,pls wafanyakazi subiri mafao kwenye mikopo ni pressure tu
Na ndiyo maana mfanyakazi anasubiri astaafu ndiyo ajenge maana kwa mishahara say ya walimu huwezi kujenga katu! Muda mwingine inabidi ujitose kunusuru hali ya uzeeni.
 
Usinikumbushe nilikopa mil 6....nataakiwa kutudisha mil 10.....kwa miaka 5
 
Dah nimewasoma wote hongereni kwa michango yenu.Nimejifunza kitu kikubwa Sana hapa naomba Mungu Jf iendelee kuwepo.

Na shukrani mtoa mada.maana nilikua najiuliza kwa nini walimu wanaishi maisha magumu kumbe mikopo isiyo na tija.

Siku nikiajiriwa sitakopa bali nitapambana na hali yangu.
 
Signature yako inachekesha kweli, wewe ni Humanist au Capitalist? As a Human, kama unayo pesa ya kumkopesha mwenzako, kwanini udai riba? Hutaki afanikiwe mwenzako? hutaki mwenzako aachane na shida? Kwani ukimwambia nakupa mkopo lakini tufanye wote hio biashara kwa miaka mitano, ukipata hasara nimepata hasara ukipata faida na mimi napata faida, kwanini lazima ukimpa hela ajiendeshe akipata hasara unashindwa kumuelewa? Hivi wewe unajiita humanist kisha unaona ni sawa kabisa mtu anakwenda kupokonywa nyumba yake aloiweka bondi kisha alale wapi?

Ubinaadamu kazi na wewe huiwezi!

Ngoja nkupe kisomo basi;

Bank inatengeza hela kupitia transactions unazofanya, wanakata hela fulani, pia kila mwisho wa mwezi wanakata hela.

Kwenye kukopesha, zipo benk zinakopesha bila riba, na zinapata faida. hizi benki zinafanya sharing na wewe kwenye biashara ulioiombea mkopo.

Dah Mkuu umenikosha sana eti unajiita HUMANIST LOL!!!

Utakuwa mgumu kidogo wa kuelewa, mimi siyo BANK! Bank biashara yao ni pesa ndiyo maana wanaweka riba, wakikupa bure ilhali na wao wanazikopa biashara italeta maana?!!! Binafsi huwa sikopeshi pesa kwa sababu sifanyi biashara hiyo, huwa naazimisha, na shida zangu za kawaida huwa naazima kwa watu pia....Tunavoongea hivi jana tu nimeazima kwa mtu milioni kadhaa, nilipiga tu simu akaniambia TUMA MTU AJE ACHUKUE, sikuulizwa hata maswali ya nitarudisha lini na mimi siwezi kukaa nayo mwezi mzima kwa sababu najua ni pesa iliyochomolewa kwenye mzunguko! NETWORK.... maishani mwako tengeneza network na watu mnaofanya nao biashara, marafiki nk. Ukishajenga network ya uaminifu wala haikuletei shida za kulazimisha "mkopo" kwa ndugu, kama upo kwenye network ya mfaano ukimwomba kitu mtu anayejua kwamba unamfaa hawezi kukukatalia kwa sababu kesho na yeye atapata kwako. Humanity ni pamoja na common sense! Kama unafanya biashara zako mjini utanielewa, lakini kama ni mwajiriwa unayetegemea mshahara basi potezea kila nilichoandika kwa sababu itakuwa ngumu kuelewa.
 
Mkopo haujawahi mnufaisha mkopaji hata siku moja
 
Hawakukwambia kabla?[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sijasema nimepewa as such, just read the context! hata nikipewa it does not matter, all i want is to let those interested know how RIBA stands in our banks!
 
Usinikumbushe nilikopa mil 6....nataakiwa kutudisha mil 10.....kwa miaka 5
Lakini katika hali ya kawaida kama hukufanya hivyo hutajenga ukiwa kazini (kama mfanyakazi) kwa mshahara. Labda uwe kwenye sehemu ya rushwa which is not good kula rushwa. haya mambo ni magumu
 
Lakini katika hali ya kawaida kama hukufanya hivyo hutajenga ukiwa kazini (kama mfanyakazi) kwa mshahara. Labda uwe kwenye sehemu ya rushwa which is not good kula rushwa. haya mambo ni magumu
Anajenga tu, sema atachelewa kumaliza.
 
Mkopo haujawahi mnufaisha mkopaji hata siku moja
Sema wewe haujawahi kukunufaisha. Lakini watafutaji wananufaika namikopo kila siku, inafikia kipindi benki na wewe mnajadiliana riba ya mkopo husika ili kupata rate itayokufaa!
 
  • Thanks
Reactions: sab
Back
Top Bottom