Mikopo ya benki ni wizi uliokomaa, nimetozwa riba ya 81% kwa miaka 6

Mikopo ya benki ni wizi uliokomaa, nimetozwa riba ya 81% kwa miaka 6

Kauli ya "unalipa riba ya 81%kwa miaka 6" ni kauli tata.

Unamaanisha nini? Kiasi ulicholipa riba kwa miaka 6 ni 86% ya pesa ulizokopa? Au umetozwa riba ya 86% kuanzia mwanzo wa mkopo?

Hayo ni mambo mawili tofauti.
Good, mkopo ninaotegemea kuuchukua , riba yake in 81% ya mkopo wote your first comment carries the meaning...Kiasi ulicholipa riba kwa miaka 6 ni 86% ya pesa ulizokopa
 
Ukijibu kunya nitakujibu hivyo hivyo! Ukijibu lugha ya staha nitakujibu lugha ya staha! Siajaleta mada hii kuonewa huruma and actually what I did is to make an inquiry and that is what I discovered! I wanted views from some people with economics background in banking to discuss if at all it makes sense to take such a loan! Wewe unaleta matusi! kejeli, dharau! I will treat you accordingly without mercy!

Business doesn't make sense, business is all about https://jamii.app/JFUserGuide the other one as soon as POSSIBLE...... so your Questions is not relevant, ukienda kwenye mkopo YOU WILL BE FUCKED..... wewe ujaendaga mahali wakakuongezea bei ya vitu mara 2? does that make sense? no, what happens! https://jamii.app/JFUserGuide THE customer.... that is what the business is!
 
Mimi nishajitukana mwenyewe kablayeye hajanitukana kwa kumuuliza swali, kwahiyo usihofu mimi kutukanwa.
Huyo jamaaa anatumia lugha ya kejeli, matusi, dharau sitakuacha. Sina stress na mkopo, after all sijauchukua! Kuna watu wamejinijibu kiungwana kabisa! Likewise nimewajbu kiungwana!
 
Good, mkopo ninaotegemea kuuchukua , riba yake in 81% ya mkopo wote your first comment carries the meaning...Kiasi ulicholipa riba kwa miaka 6 ni 86% ya pesa ulizokopa
Umelipa malipo 86% ya mkopo. Riba ya mkopo haijawa 86%.
 
Benki zipo sahihi, wateja hatupo sahihi sana kuelewa zile hesabu za P+RT/100.
Mkopo huohuo wa 20m ndani ya mwaka mmoja unalipa jumla ya 22,003,198.3.
Faida ya benki kwa mwaka ni 2,003,198.3.
Jitahidini kuelewa maana ya " annual interest rate".
 
Business doesn't make sense, business is all about **** the other one as soon as POSSIBLE...... so your Questions is not relevant, ukienda kwenye mkopo YOU WILL BE FUCKED..... wewe ujaendaga mahali wakakuongezea bei ya vitu mara 2? does that make sense? no, what happens! **** THE customer.... that is what the business is!
Lugha ya matusi siitaki, nenda marekani ndio wanatumia maneno hayo.
 
Muda unavyoongezeka wa malipo ndipo na risks zinaongezeka.
Kwa mfano, (ki-mtaani mtaani) rahisi mtu kupewa hela bila ya riba ikiwa kama mtu atalipa siku hiyohiyo, na anaaminika; tofauti na mtu anayetarajia kurejesha mkopo baada ya mwaka.
 
Mimi kuna kabiashara nafanya kila wabank anayekuja anataka anikopeshe mpaka sasa Nina loan application 4 za bank tofauti tofauti wamenipatia nikajaze niwarudishie bado sijafanya maamuzi wacha nipambane na hali yangu kwanza.
 
Naomba kujua. Kama ungepewa milioni ishirini uifanyie biashara kwa miaka 6 ungepata kiasi gani?
 
Unapewa milioni 20 , unalipa riba ya 81% kwa miaka 6. Je huu sio wizi uliokubuhu?
Wachumi tuelimishe is it worthy ta
Ili benki iweze kuwepo ni riba pato lao kubwa, halafu wewe ulitegemea kwa miaka 6 riba iwe asilimia ngapi? Na mwisho mikopo ipo kwa ajili ya uzalishaji sio kununulia vifaa vya majumbani au viwanja hapo mkopo lazima uone unakunyonya.
 
Kiukweli wengi wa tunaochukua mikopo hatujuagi dhumuni LA mikopo, ndo maana tunaishia Julia kuwa riba ni kubwa na the like. Mazingira yetu ya kibiashara sio mazuri kwa Ku forecast kwa hiyo ukichukua mikopo ukitarajia ndo uanze biashara lazima ulie.
Kingine wengi wanaochukua mikopo wanadanganya hasa wafanyabiashara. Unakuta labda mauzo yake kwa mwezi ni laki tatu lakini akienda benk unakuta anadanganya labda faida kwa mwezi million mbili ili apate mikopo mkubwa. Sasa akiipata mikopo akapata chalenji kidogo lazima alie.
Mfano mwingine ni kushindwa kujitambua. Unakuta MTU anabiashara labda ya mashine za unga. Ili apate faida Siku labda na alipe mishahara na kila kitu, anatakiwa kuzalisha labda tonne kumi kwa Siku na hizo kumi whatever the case lazima alazimike kuziuza zote. Yeye anazalisha tonne tatu na hajishughulishi kuumiza kichwa jinsi ya kujiongeza ili aendane na mikopo. Automatically lazima ashindwe.
Kwa upande mwingine tukiachana nguvu za nje kama serikali na mazingira ya biashara kubadilika sababu kubwa za kushindwa kulipa mikopo ni za wachukua mikopo tu.
Hivi unaanzaje kuchukua mkopo ujenge nyumba ya kuishi? Au unachukuaje mkopo unanunulia usafiri? Au unachukuaje kuanzisha biashara ya mpya ambayo hujajua chalenji zake zikoje?
 
No please we angalia nilivyokujibu mwanza! (sijachukua mkopo, I made an inquiry)
Hilo haliondoi ukweli kwamba katika simulation yako, ambayo hata kichwa cha thread kimeiakisi, habari ni "nimetozwa riba ya..."

Riba inahesabiwa kwa mwaka mmoja, kama unahesabu malipo uliyofanya kwa miaka 6 ukapata 86%,hiyo 86% si riba, hayo ni malipo.

Ukisema umelipa riba ya 86% kwa miaka 6 unaweza kutoa picha kwamba umechukua mkopo wenye riba 86% from day one, ukaulipa kwa miaka 6.
 
Hiyo riba ni fair kabisa kwa kipindi hicho cha miaka 6.... hapo kwa mwaka mmoja inamaanisha ni 81/6 ambayo 13.5% (Hapo nime assume haijatozwa compound interest)

Hiyo riba hapo kuna mfumuko wa bei (Fedha kupoteza thamani) ambayo ni wastani wa 5% kwa mwaka, risk premium (Hii inafidia zile case ambazo mkopo haulipwi na benki ikapata hasara) kisha na gharama ya benki kwa ajili ya kulipia gharama za ku oparate
Ur economistics and ur answer is very understandable
 
Back
Top Bottom