Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 2,188
- 4,116
Hawa jamaa siwaelewi elewi. Naona wanamipa deni ambalo hata sijakopa. Naona kama wanabambikia watu madeni. Imewahi kukuta hii?
Utatupa laini?Kama ni deni la mchongo dawa ni kutokulipa tu.
Nalipa kwanza laki 1 halafu nakopa laki 3 then natafuna kabisa nahimi TTCL ya mbogamboga.Utatupa laini?
We noma!!Nachukua sana hizo hela. Nazungusha narudisha. Tigo interest iko 16% ambayo ni kama benki tu(in fact watoa mikopo ni bank mitandao ya simu ni njia ya kufikia wateja). Sasa hivi Tigo + Voda nina access ya 3m anytime. Sasa hivi hapa Tigo wananidai 800,000 deadline 16/02 na Voda wananidai 500,000 deadline 02/03. Nalipa zote nachukua tena nazungusha.
Kwanini?We noma!!
Unadaiwa hela nyingiKwanini?
Nachukua kiasi ninachoweza kurudisha. Mkopo ukiwa mzigo kwako lazima uta default.Unadaiwa hela nyingi
Nachukua sana hizo hela. Nazungusha narudisha. Tigo interest iko 16% ambayo ni kama benki tu(in fact watoa mikopo ni bank mitandao ya simu ni njia ya kufikia wateja). Sasa hivi Tigo + Voda nina access ya 3m anytime. Sasa hivi hapa Tigo wananidai 800,000 deadline 16/02 na Voda wananidai 500,000 deadline 02/03. Nalipa zote nachukua tena nazungusha.
Ukirudisha on time wanapandisha kiwango.Aisee hongera! Mimi wananikopesha mwisho 50k Mzee. 😁
Ila mkopo wa mafuta ya gari wananipa 100k CHOMOKA.
Ukirudisha on time wanapandisha kiwango.
View attachment 3541315
Hongera sana mkuuu Hadi umefikia kiwango hicho manaake umetoka nao mbali.. mimi mpawa wananiambia niweke kwanza akiba haahaaaaUkirudisha on time wanapandisha kiwango.
View attachment 3541315
Hii Voda. Ukirudisha on time wanaongeza kiwango. Mimi nazizungusha na kurudisha on time.Aisee sawa, kiwango hicho ni kikubwa. Ni mtaji kabisa huo.
Hii Voda. Ukirudisha on time wanaongeza kiwango. Mimi nazizungusha na kurudisha on time.
View attachment 3541317