Mikopo ya kwenye simu kama Bustisha wanabambikia watu madeni?

Yaan kama kuna majambazi serikali inayasaka basi ndo haya hapo sasa unakopa buku 10 ila unaweza jikuta unalipa hata 29 alfu yaan kila ukilipa unaambiwa bado kiasi cha 7000 mara 5000 mara 8000 aashenzi wale nilijitoa
 
Nachukua sana hizo hela. Nazungusha narudisha. Tigo interest iko 16% ambayo ni kama benki tu(in fact watoa mikopo ni bank mitandao ya simu ni njia ya kufikia wateja). Sasa hivi Tigo + Voda nina access ya 3m anytime. Sasa hivi hapa Tigo wananidai 800,000 deadline 16/02 na Voda wananidai 500,000 deadline 02/03. Nalipa zote nachukua tena nazungusha.
 
We noma!!
 
Aisee hongera! Mimi wananikopesha mwisho 50k Mzee. 😁

Ila mkopo wa mafuta ya gari wananipa 100k CHOMOKA.
 
Back
Top Bottom