Mikopo ya mitandaoni ilitaka iniue

Mtumishi mwenye mshahara ila posho huna = Mwalimu Mpamile
 
Lengo kuu ni hapa kwenye

"Nikaanza kusoma YouTube jinsi ya kupambana na hawa online 🦈 sharks.
Nikawadhibiti. Nilifanya utafiti wa kutosha huku nikijua na wao wanajitahidi kupambana kwa njia mpya shilingi yao hata moja isipotee.
Mwisho wa siku nikawadhibiti.
Naishi kwa amani sasa. "


Vipi waje PM!? 😄 🤣 😂
 
Hatari
 
Uandishi huu hauna tofauti na mganga nanejinasibu anatibu magonjwa yote mtandaoni ukimuelezea tatizo lako anakwambia nifate ofisini au mfanyabiashara anaejitangaza vizuri ila hakuweka bei anasubir afwate dm
 
Nishamsanukia kitambooo
 
Nliamua kutowalipa baada ya wao kuamua kunidhalilisha, kila jamaa wa karibu akinpigia sim namwambia matapeli wametapeliwa achana nao
 
Mkuu financial literacy yako iko chini sana.
 
Hivi hawa wanao kopesha watu mitandaoni wako sawa kiakili? Unampa mtu hela hujui atarudisha vip?

Ukibadilisha laini?
 
Baadhi ya watanzania ndio hata taasisi za fedha ngumu kuwaamini kuwakopesha
Mhindi akiingia benki kukopa mdani ya nudu saa hata akikopa mabilioni anapewa sababu ni walipaji wazuri

Mswahili ujanja mwingi Kukopa akope yeye kukopa harusi kulipa matanga

Huwezi kopa bila kusoma masharti na kukubaliana na masharti iwe mikopo ya mitandaoni au nje ya kusajikiwa au mtaani

Sasa mtu masharti anakubali ukimkopesha kulipa anaanza kupiga chenga

Ndio maana hata mitaani kuna mtu aweza zunguka mtaa mzima au akapigia ndigu wote au kazini wamkopeshe elfu 10 tu hapati

Hii tabia ya kukopa na kuwa mkorofi kwenye kulipa sio nzuri

Mleta mada na wenye mawazo kama yako hamko sahihi.
 
Hawa tumewapiga sana kuanzia TALA,Pesa X,mkopo fasta ..... Ila uwe mvumilivu wa kupigiwa simu maana ni kila baada ya nusu saa,pia wana lugha za kutisha kinyama lkn nikawa nawajibu kistaarabu . hivi Sasa naona wamesha tubu
 
Hawa tumewapiga sana kuanzia TALA,Pesa X,mkopo fasta ..... Ila uwe mvumilivu wa kupigiwa simu maana ni kila baada ya nusu saa,pia wana lugha za kutisha kinyama lkn nikawa nawajibu kistaarabu . hivi Sasa naona wamesha tubu
Mtu kama wewe una pepo la umaskini ukitajirika niite mbwa
.kutajirika kuna kanuni zake mojawapo ni kukopa na kulipa bila longolongo au 8janja ujanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…