Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 1,226
- 1,757
Umenichekesha kwa kauli hii "nikasolve ugomvi na wife".Inamaanisha mkeo mkali kiasi kwamba ukikosa hela ya gesi hapakaliki? Kama ni hivyo balaa[emoji23]Naomba kuelezwa kuhusu hii mikopo ya simu je unaweza kufanya kitu cha maana kwenye hii mikopo ya simu!!!
Naona kama riba ni kubwa kidogo ingawa kuna muda inasaidia
Mfano mi jana gesi imeisha nikakopa kwenye simu[emoji23][emoji23]Nikasolve ugomvi na mke wangu!!
Sasa nauliza kama kuna kitu cha maana unaweza ufanyia mfano kupata hapa milion 1
hivi
Upumbavu wa Songesha upo hapo kwenye riba...mimi kila siku wananishawishi kiwango kimefika 233k, ila sitaki hata kuwasikia!Mkopo usikie tu,ni mtamu kuula ila kurejesha walah utasota,na hao songesha Ndio wanariba kinoma 40% na ukichelewesha deni linapanda.Watz kibao wamevunja laini.
Kuna mdogo anasemaga "ndoa hizi" [emoji3][emoji3]Umenichekesha kwa kauli hii "nikasolve ugomvi na wife".Inamaanisha mkeo mkali kiasi kwamba ukikosa hela ya gesi hapakaliki? Kama ni hivyo balaa[emoji23]
Kuna moja airtel kwa jina la kamilisha inaniambia unaweza kukopa hadi sh 34,000Naomba kuelezwa kuhusu hii mikopo ya simu je unaweza kufanya kitu cha maana kwenye hii mikopo ya simu!!!
Naona kama riba ni kubwa kidogo ingawa kuna muda inasaidia
Mfano mi jana gesi imeisha nikakopa kwenye simu[emoji23][emoji23]Nikasolve ugomvi na mke wangu!!
Sasa nauliza kama kuna kitu cha maana unaweza ufanyia mfano kupata hapa milion 1
hivi
Ipo playstore wanatoa mikopondio nn
Naomba kuelezwa kuhusu hii mikopo ya simu je unaweza kufanya kitu cha maana kwenye hii mikopo ya simu!!!
Naona kama riba ni kubwa kidogo ingawa kuna muda inasaidia
Mfano mi jana gesi imeisha nikakopa kwenye simu[emoji23][emoji23]Nikasolve ugomvi na mke wangu!!
Sasa nauliza kama kuna kitu cha maana unaweza ufanyia mfano kupata hapa milion 1
hivi
Wewe sio mzima😂Yeah. Maana hata ukijamba ni gas sio?
Niko timamu madame. Amini kwamba.Wewe sio mzima😂
Hii ndoa ni hatari, gas ikiisha mnagombana na mkeo?!!Naomba kuelezwa kuhusu hii mikopo ya simu je unaweza kufanya kitu cha maana kwenye hii mikopo ya simu!!!
Naona kama riba ni kubwa kidogo ingawa kuna muda inasaidia
Mfano mi jana gesi imeisha nikakopa kwenye simu[emoji23][emoji23]Nikasolve ugomvi na mke wangu!!
Sasa nauliza kama kuna kitu cha maana unaweza ufanyia mfano kupata hapa milion 1
hivi
Aise unaweza jifunika na tope la hanang Ili wasikupate[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vitisho wanavyotumia kudai 5000, nadhani wakikupa 1 million, kuna mtu watamuasign aambatane na wewe Kila unapoenda, mpaka deni liishe.
Hakika!Mkopo wowote ni utumwa, kwepa sana.
Na wewe unaamini anashindwa kulipa?USA wanadaiwa mikopo ya nje kaisi cha USD 32.9 trillion.
Wewe ni nani ushindwe kukopa laki.
Your woman fight you because of the sudden end of fuel?
She is a mind hoe
mwanamke anakusoma kwanza ukoje ndio analeta vimbwanga vyake, otherwise una mapungufu mazito sana fredi, badilika!yes !! mkuu si unajua wanawake walivo
...ukalipa Shs Ngapi ??..Wana riba kubwa nishakopa 44000
mwanamke anakusoma kwanza ukoje ndio analeta vimbwanga vyake, otherwise una mapungufu mazito sana fredi, badilika!