Mikosi au wakati wetu haujafika?

Mikosi au wakati wetu haujafika?

Toa taarifa kituo cha polisi haraka sana, maana kuanzia sasa muda wowote unaweza kujitoa uhai


Na hii hali ikiendelea unaweza kuwaona hadi viongozi wako wa dini nao ni wanafki tu
 
Toa taarifa kituo cha polisi haraka sana, maana kuanzia sasa muda wowote unaweza kujitoa uhai

Na hii hali ikiendelea unaweza kuwaona hadi viongozi wako wa dini nao ni wanafki tu
Baadhi yao. Mfano mchungaji anapotaka gari anawaomba waumini wake wachangie pesa kwaajili ya gari ya mchungaji. Lakini muumini akitaka gari mchungaji anamwambie amuombe mungu atampatia gari, ila yeye mchungaji aliomba waumini na sio Mungu! Ni wachache lakini
 
Mi nadhani tatizo kubwa apa ni kujilinganisha, napataga izo feelings mara kwa mara.

Kama ulimaliza 2012 possibly ata haujafikia miaka 30. Watu wengi wanaopata mafanikio makubwa on their 20's sanasana unakuta ni kipaji, familia, bahati au alianza anachokifanya siku nyingi. Ila wengine wengi mafanikio wanaanza kuyaona baada ya 30.

Kuhusu cha kufanya nadhani tuwe na consistency baada ya kuchagua kitu cha kufanya kinachoendana na strength zetu na kinachouzika sokoni mfano mtu anayependa wanyama by nature anaweza kufanikiwa zaidi kwenye ufugaji kuliko aliyeenda kwa sababu ya pesa tu.

Na kitu muhimu zaidi ni kuwa na connection na watu waliofanikiwa katika sekta yako, wanajuaga shortcuts baada ya wao kupita njia ndefu. Japo na wewe unaweza kupita ndefu na ukatoboa vilevile.MCHAWI NI MUDA
 
Tatizo lako kubwa ni mindset uliyonayo.

Unapambana ila unajilinganisha na watu, ni kama unashindana nao.

Maisha ya shule ni tofauti na haya ya mtaani.

Akili ya shule na akili ya Mtaa ni vitu viwili tofauti kabisa.

Hauhitaji kujilinganisha na kushindana na watu unapokuja mtaani, hayo mambo yapo huko shule kujua nani ana akili kuliko mwingine.

Mtaani huku kujiongeza ndiyo msingi na wa kwanza siyo mwenye Akili ila mwenye mbinu bora katika kupambana.

Weka malengo, weka mikakati kufikia hayo malengo, pambana pasipo kumfikiria yeyote.

Thathmini namna unavyotekeleza malengo yako na ujitazame wewe kama wewe.

Kila mmoja ana wakati wake na ana namna yake.

ACHA KUJILINGANISHA NA WATU. PIA PUNGUZA WIVU WA MAENDELEO.

Umekutana na mtu katusua kaa muulize imekuaje mpaka kafika hapo alipo akupe muongozo na unaweza kujifunza kitu au hata kupata dili moja kwa moja.

Na suala la kuamini walio feli shule watafeli maisha liache kabisa.

Ulimwengu umebadilika sana mkuu.
 
Akili za darasani ni tofauti na akili za mtaani, inawezakana kabisa ukawa vizuri darasani Ila ukawa vibaya mtaani maana mungu hakupi vyote.

Na pia Mafanikio ya mtaani Yana mambo mengi sana ,hivyo kwa nyinyi wasomi ndomana inawawia vigumu kwa baadhi yenu maana mnategemea hasa akili zenu za darasani wakati mafanikio yana mchanganyiko wa mambo mengi.

Mtaani kunahitaji kujilipua sana na kutambua ili ufanikiwe unahitaji kupigana kwanza vita ya kiroho na ushinde ,bila hivyo mafanikio utayasikia kwa wenzio maana hakuna ambaye atakubali kukuacha na goli kipa ushinde kirahisi ,Utawekewa kila aina ya mabeki wakukabe kuhakikisha uchomoki kamwe.
 
Akili za darasani ni tofauti na akili za mtaani, Inawezakana kabisa ukawa vizuri darasani Ila ukawa vibaya mtaani maana mungu hakupi vyote ,.
Na pia Mafanikio ya mtaani Yana mambo mengi sana, hivyo kwa nyinyi wasomi ndomana inawawia vigumu kwa baadhi yenu maana mnategemea hasa akili zenu za darasani wakati mafanikio yana mchanganyiko wa mambo mengi.

Mtaani kunahitaji kujilipua sana na kutambua ili ufanikiwe unahitaji kupigana kwanza vita ya kiroho na ushinde ,bila hivyo mafanikio utayasikia kwa wenzio maana hakuna ambaye atakubali kukuacha na goli kipa ushinde kirahisi ,Utawekewa kila aina ya mabeki wakukabe kuhakikisha uchomoki kamwe
Hii vita ya kiroho unayozungumza ni ipi
 
Haya mambo sometimes yanaumiza sana acha tu yani mimi nina jamaa yangu tulimaliza wote secondary akafeli akaja dsm akajifunza gari akawa kuli wa gari za mizigo kwenda nje ya Tz majuzi fb tunachati kanicheki amejenga kibaha huko ana IST yake ameoa tena demu wake tulimuacha form 3 pale shule na watoto wazuri wawili mimi niliyeenda chuo bado hata kiwanja *****. Sema tupambane tu mda ndo hakimu wa haki.
 
Muda wako upo tu..na safari yako ya maisha ni tofauti na wengine....Ila katika mafanikio ya wenzako jifunze kufurahia kwani ndipo njia yako itakapokua rahisi.Ila ukiwa na uchungu moyoni unajizibia na kufunga njia zako za mafanikio
 
Simply put,
Utaona umuhim wa degree yako 10yrs after graduation. Kama by then utakuwa unahangaika huna mbele wala nyuma then ukaoge bararini uondoe nuksi.
Ila ndo hivo, pambana and in 10yrs utaona elimu ilikusaidia nn
 
[emoji2][emoji2] af kwa kuwa ulikuwa kipanga darasan, ukafaulu kila unaekutana nae anajua una bonge la kaz pahara lazma aulize, wengine masnich tu anajua kila kitu bt anakuuliza makusud akutibue.

Mie naamin kufanikiwa kupo tu, Kama sio leo kesho.
Mie nmekuwa nkipata Hera tatzo haztunzik, zkija ndio macho yako yanaona vi Heineken na nyama choma. Nmeamua kukatilia mbali kila aina ya starehe nione ndan ya mwaka ntakuwa wapi?
 
[emoji2][emoji2] af kwa kuwa ulikuwa kipanga darasan, ukafaulu kila unaekutana nae anajua una bonge la kaz pahara lazma aulize, wengine masnich tu anajua kila kitu bt anakuuliza makusud akutibue.

Mie naamin kufanikiwa kupo tu, Kama sio leo kesho.
Mie nmekuwa nkipata Hera tatzo haztunzik, zkija ndio macho yako yanaona vi Heineken na nyama choma. Nmeamua kukatilia mbali kila aina ya starehe nione ndan ya mwaka ntakuwa wapi?

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Yaani leo mtu ni nesi,mfamasio, Clinical officer alafu alifeli mtihani,,Inawezekana vp?Au kufeli uko n kwa namna gan?
 
Pole sana mkuu. Jaribu kutafuta connection na hao hao waliofanikiwa nawe utatoka tu kimaisha wala hata usiwe na papara hata kidogo.

Kuna kipindi nilipitia kama unayopitia ila mwisho wa siku mambo yalienda tu vizuri. Kilichokuwa kinaniboa na kuumia ni pale wazazi walipokuwa wakinipigia simu kuniambia kuhusu mafanikio ya vijana tuliokuwa nao pamoja na kufika mbali zaidi na kunilaumu kuwa nachezea pesa kwa sababu siendi kujenga nyumbani bila kujua hali nilikuwa nayo na nilikuwa napitia nini kwa wakati huo.

Kila nilipowapigia simu ni kulaumu na kunitupia vijembe bila kujua kwa wakati ule nilikuwa napitia nini katika pambano la kuukimbia umasikini.

Kwa vile nilikuwa napenda amani ya moyo wangu na afya ya akili yangu niliwablock katika simu yangu ili kulinda afya ya akili yangu. Mambo yalipokaa sawa nikawafungulia. Sikuwablock kwa nia mbaya bali ukiona kitu kinaharibu afya ya akili yako ni bora ukakaa nacho mbali maana usipofanya hivyo utapata depression au stress bure.
 
Back
Top Bottom