Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubali mkuu [emoji110]Kufanikiwa ni jambo la ajabu unaweza ukajaribu vitu vingi usifanikiwe ila unaweza jaribu kitu kimoja ukafanikiwa na ndio ikawa shughuli/ kazi yako.
Ukweli ni kwamba drop out kutoka shule wengi wanakua wamepiga hatua maana wanakua wanajua wafanye nini kwa jamii wapate pesa. Wana taarifa zote kuhusu soko na bidhaaa.
Kufanikiwa kunaitaji watu, wakupe maarifa, wakupe bidhaa, wakupe wateja. Changamoto ni watu hao unawapata vipi basi.
Pole sana. Ebu ongea vizuri na wakurugezi wako then rudi hapa baada ya mwaka tupe
. Kama huwajui njoo pm
Mkuu, hiv drop out wa chuo na wewe graduate mnatofautina sana muda wa kuingia mtaani kuanza maisha?Robert kiyosaki ameliongelea sana jambo hili kwenye kitabu cha "Be rich & happy",
Na ameelezea kwa nin wasomi wana mafanikio ya kawaida ukilinganisha na drop out students
Pia, cha msingi uendelee kupambana kwa bidii na uzidi kumuomba mungu akusaidie
Lakini mwisho wa siku inabidi kumshukuru mungu, kwa sababu yeye ndo anajua kwa nin amekunyima ww na kampa yule
Nimeongelea drop out wote kiujumla cio wa chuo tu!Mkuu, hiv drop out wa chuo na wewe graduate mnatofautina sana muda wa kuingia mtaani kuanza maisha?
Labda alieishia la7 na form 4,6 wanamiaka mingi mtaani kuliko wewe graduate wa chuo.
Hebu tueleweshane kidogo.Nimeongelea drop out wote kiujumla cio wa chuo tu!
Sometimes kusoma nap kuna disadvantages, mfano most of the graduates ni watu wenye hofu juu ya jamii zao jinsi zitakavyowachkulia kutokana na kujishughulisha na ishu nyingine tofaut na taaluma walizotafuta
Pia graduates ni watu wanaokuw na expectations kubwa kutokana na elimu zao tofaut na uhalisia wa maisha yalivyo, kitu kinachopelekea kupanic na stress
Drop out wa university wana unafuu kivip, na hao wengine wana hali mbaya kivip??!Hebu tueleweshane kidogo.
Alie maliza form4 na la 7 na form 6 bila kwenda vyuoni unawaweka kundi gani ? Ni graduate au drop out?
Kwa mtazamo wangu drop out wanaojadiliwa humu na huko ulaya ni university level sio hao wachini.
Kama drop out wote wanawekwa kundi moja basi graduate wana unafuu zaidi ya hao drop out.
Kumbuka drop out wa TZ wengi waliacha sio kwa hiyari bali kukosa ada,kufukuzwa, ku disco na kuumwa tofauti na drop out wa USA huacha ili kuanzisha kampuni.
Soma huu mstari vizuriDrop out wa university wana unafuu kivip, na hao wengine wana hali mbaya kivip??!
basi graduate wana unafuu zaidi ya hao drop out.
Drop out ni yule alie acha kabla ya kumaliza.Drop out wa university wana unafuu kivip, na hao wengine wana hali mbaya kivip??!
Suala zima la drop out ni drop out, no matter umeach skul kwa malengo gan au matatizo gan!!
kibongo bongo kama hujagraduate university basi we ni drop out, coz bado huna taaluma yeyote
Then, droping out from skul haina relation na hali ya maisha ya mtu fulani, ni vitu visivyotegemean
Fanya random sampling kuanzia drsa 7 mpaka chuo watu 10 tu walioacha na 19 waliohitimu ndio utoe majibu. Don't guess !Then, droping out from skul haina relation na hali ya maisha ya mtu fulani, ni vitu visivyotegemean