Mikosi baada ya kuachana

Mhh yani mkosaji mimi alafu mikosi impate mwingine? Na kipi chanzo cha mikosi je kurogwa au
Sasa hiyo ndio mikosi yenyewe kiongozi, yaani unajiona kama umepelekea wengine matatizo yaani unajiona wewe ni nuksi mleta mikosi.

Vipi ushaona tofauti ya mikosi na matatizo yako ya kupoteza umakini?.

Chanzo cha mikosi ni hujuma, mauaji, kujiua au kujaribu kujiua na mambo mengine ya kuzulumu nafsi za wengine
 
Je ni kweli kuoga na chumvi ya mawe inasaidia kuondoa mikosi?
 
I noticed una elimu kuhusu comment uliyochapisha nimeshaona sehem mbalimbali ukigusia hili....

Ikikupendeza ninaomba somo juu ya hili....

Happy new year in advance Dr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…