Mikosi baada ya kuachana

Mikosi baada ya kuachana

Mhh yani mkosaji mimi alafu mikosi impate mwingine? Na kipi chanzo cha mikosi je kurogwa au
Sasa hiyo ndio mikosi yenyewe kiongozi, yaani unajiona kama umepelekea wengine matatizo yaani unajiona wewe ni nuksi mleta mikosi.

Vipi ushaona tofauti ya mikosi na matatizo yako ya kupoteza umakini?.

Chanzo cha mikosi ni hujuma, mauaji, kujiua au kujaribu kujiua na mambo mengine ya kuzulumu nafsi za wengine
 
Je ni kweli kuoga na chumvi ya mawe inasaidia kuondoa mikosi?
 
Ulichopata au unachopata huitwa 'negative wave'

Hii negative wave haitokani na kuachana na mtu Ila inatokana na attention au muitukio wa yale yanayokupata , ukosefu wa kufanya detachment huweza kupelekea kutiririka Kwa '
negative emotions wave '

So ushauri mdogo huu hapa 👎🏽
Just Practice more gratitude and detachment.

Energy au nishati huwa ina-flow sehemu yenye attention either iwe positive or negative

Umewahi kuambiwa fumba macho tuombe ?

Nitarudi hapa .
I noticed una elimu kuhusu comment uliyochapisha nimeshaona sehem mbalimbali ukigusia hili....

Ikikupendeza ninaomba somo juu ya hili....

Happy new year in advance Dr
 
Back
Top Bottom