Mikumi, Morogoro: Wenyeviti wa vitongoji wawekwa ndani kwa kushindwa kuwahamasisha wananchi kujenga madarasa

Note : Ikiwa kama tu mtu huyo anatishia salama.
 
Hahahaha
 
Hivi hakuamuru wachapwe viboko?
Hii ya version mpya ya kuwaweka ndani watendaji inaweza kuwa mbadala wa viboko.
 
Safi sana. Tanzania ya kijani hakika inapendeza
 
Acha ujinga na roho mbaya mbona harusi mnachangia?
Kafuteni kwenye ilani kuwa elimu siyi bure tutachangia kiroho safi. Vinginevgo acheni utapeli wa elimu bure...na tunasubiri bima za afya kwa kila mwananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…