Simba zee 33
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 1,374
- 1,564
Harusi tunachangia kwa hiariAcha ujinga na roho mbaya mbona harusi mnachangia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Harusi tunachangia kwa hiariAcha ujinga na roho mbaya mbona harusi mnachangia?
Note : Ikiwa kama tu mtu huyo anatishia salama.Mkuu wa Mkoa ana mamlaka ya kumuweka mtu yeyote ndani.
Hii ni kwa mujibu wa Sheria ya Tawala za Mikoa (The Regional Administrative Act).
Kwa hiyo hapa RC hajajichukulia sheria mkononi bali ametekeleza sheria.
Labda ungehoji uhalali wa sheria aliyoitumia, na kama hicho kifungu kinafaa kuendelea kuwepo.
Pia kuna sheria inampa mamlaka rais kuadhibu kijiji kizima. Mfano Kama watu wa Kijiji husika au mtaa wanahisiwa kumficha mhalifu, basi watapewa adhabu wote mpaka wataje
HahahahaMkuu wa Mkoa wa Morogoro, Ole Sanare ameagiza wenyeviti wa vitongoji 21 vilivyoko katika mji mdogo wa Mikumi kukamatwa kwa kushindwa kuwahamasisha wananchi kushikiriki ujenzi wa madarasa.
RC Sanare amesema alijua kuna kutoka kwa wenyeviti katika ujenzi wa madarasa hayo ambayo kwa kiasi kikubwa yanategemea nguvu za wananchi hivyo ilikuwa kazi ya wenyeviti kuwakusanya wananchi wao.
Aidha RC ameagiza Mkuu wa Shule ya Sekondari Kauzeni iliyoko Manispaa ya Morogoro kutafutiwa kazi nyingine kwa kuwa ameitelekeza shule hiyo kwa zaidi ya miaka sita.
Safi sana. Tanzania ya kijani hakika inapendezaMkuu wa Mkoa wa Morogoro, Ole Sanare ameagiza wenyeviti wa vitongoji 21 vilivyoko katika mji mdogo wa Mikumi kukamatwa kwa kushindwa kuwahamasisha wananchi kushikiriki ujenzi wa madarasa.
RC Sanare amesema alijua kuna kutoka kwa wenyeviti katika ujenzi wa madarasa hayo ambayo kwa kiasi kikubwa yanategemea nguvu za wananchi hivyo ilikuwa kazi ya wenyeviti kuwakusanya wananchi wao.
Aidha RC ameagiza Mkuu wa Shule ya Sekondari Kauzeni iliyoko Manispaa ya Morogoro kutafutiwa kazi nyingine kwa kuwa ameitelekeza shule hiyo kwa zaidi ya miaka sita.
Kafuteni kwenye ilani kuwa elimu siyi bure tutachangia kiroho safi. Vinginevgo acheni utapeli wa elimu bure...na tunasubiri bima za afya kwa kila mwananchiAcha ujinga na roho mbaya mbona harusi mnachangia?